Kuna wimbo kaimba jamaa flani nadhani alimshirikisa A.Y.
Kiitikio wanaimba hivi
"Sikikiza wimboooo na historia
nakumbuka maisha ya zamani na historia
......."
Mwenye kuufahamu anisaidie tafadhali
Tunauza vifungashio vya plastic vilivyo bora kabisa na kwa bei nafuu.
Vifungashio tulivyonavyo kwa kiitaalamu vinaitwa plastic zip bag.
Vipo vya ujazo tofauti kama inavyoonekana hapo chini na bei yake tumeambatanisha.
1Kg = bei Tsh 580/= @ bag
Nusu kilo = bei Tsh 350/= @ bag
140g = bei Tsh...