we ni mwanaume bhana huwezi kumwambia mmoja wao eti nimeshindwa kukupeleka hospital kwakuwa nina mgonjwa mwingine....we angalia kiasi ulichonacho then ongezea toka sources za nje, siku hizi kuna watu binafsi wanakopesha hela kwa riba, hakikisha wote unawapatia matibabu...je ingekuwa una watoto wawili wote wanaumwa, je ingemtibu na kumuacha mmoja aangamie!? mwanaume hashindwi umiza kichwa wote wapate matibabu