Recent content by Babuu Murasa

  1. Babuu Murasa

    Vikundi vya upatu kutosimamiwa na sheria mpya huduma ndogo za fedha

    Kwa hiyo wale wenye leseni itabidi kujisajil upya BOT au utaratibu ukoje?
  2. Babuu Murasa

    Nafasi za kazi-afisa mikopo

    Kama unatafuta reputable usitume
  3. Babuu Murasa

    Nafasi za kazi-afisa mikopo

    Amani iwe nanyi nyote. Fidcom Microfinance Limited imetangaza nafasi za maafisa mikopo.Sifa uwe na Certificate /Diploma. Tafadhali tuma barua yako ya maombi pamoja na CV(usiweke vyeti) kwenda kwa mkurugenzi mtendaji, Fidcom Mfi ltd, email adress. fidcom.mfl@gmail.com Eneo la kazi.Korogwe-Tanga.
  4. Babuu Murasa

    Kama kweli T.I.B ilimpa Pride 5.6b kwa dhamana ya total no of clients, hakika watendaji wanastahili kifungo kitakatifu!

    Ulitaka waweke nini kama security?? TIB walikua right kuwasainisha Deed of portfolio assignment. Hata benk zikikopesha taasis znazotoa mikopo lazma portfolio iwe security halafu kama sana fixed deposit wanaweza kuweka pia
  5. Babuu Murasa

    Zitto na Mtatiro wamekurupuka kuhusu hitaji la Mbaazi India?

    Hoja n kwamba bado kuna demand ya mbaazi India, tofauti na tamko la viongoz wetu waliosema production ya mbaaz ilikua kubwa India so wakazuia importation
  6. Babuu Murasa

    Dress Code ya Mawaziri ina ukakasi mbaya!

    Ahahahaha aise nmecheka sana kwenye hyo description ya tumbo
  7. Babuu Murasa

    Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

    Dah so sad mkuu! Hayo maneno yako yamekosa ubinadamu
  8. Babuu Murasa

    Meli yenye bendera ya Tanzania yakamatwa ikiwa na Dawa za Kulevya tani 1.6

    Lol this is sad story...Hapa kazi tu
  9. Babuu Murasa

    Benki Kuu (BoT) yazifutia leseni benki kadhaa. Zimo Efatha Bank na Covenant Bank

    Utakaa sana ukisubria na utakufa uiache ikiendelea kustawi! Ina asset za zaidi ya trilion 4+
  10. Babuu Murasa

    Sitapiga kura hadi naingia kaburini.nina hasira sana

    Tatzo umewekeza iman yako kwa watu! Itakucost
  11. Babuu Murasa

    Vyeti feki vilivyofyeka Sh 50 bilioni za mabenki

    Bima ya mikopo n kwa ajili ya kifo na ulemavu wa kudumu. (Death & permanent disability)
  12. Babuu Murasa

    Taasisi ya Misaada ya Kijamii (TSSF) imeamriwa kusitisha shughuli zake zote kuanzia Novemba 14, 2017

    Nawapongeza hawa vijana kwa kuja na wazo mbadala la kurithi HESLB. Wapewe nafas ya kujieleza na kusikilizwa
Back
Top Bottom