The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,309
- 20,329
mpuuzi wewe, nimeajiri vijana smart huwezi hata kuingia kwenye payroll yangu, kalale mbeleWw ni director wa nn? Au ndo director wa housegirl na houseboy bro!
mpuuzi wewe, nimeajiri vijana smart huwezi hata kuingia kwenye payroll yangu, kalale mbeleWw ni director wa nn? Au ndo director wa housegirl na houseboy bro!
matapeli nyieMajibu yako tu yanaonyesha huna usmart wowote!
simply nna MBA, nnamalizia digrii yangu ya tatu UDSM, huku nimeanza pia PGD ya taxation hapa chuo cha kodiNdugu, una levo gani kitaaluma?
Muonekano si shida shida ni how smart they're. Wao wanatoa mukopo si kupokea pesa za hao wanafunzi.
kuna wakati nashindwa kuwaelewa watanzania,Bongo kweli bahati mbayahao ndio ma director?wanaonekana wahuni wa mjini tuu...ipigwe stop
Kwa kutumia hio application fee, ndio wataweza kulipia mikopo semester zote?!!wivu kwa namna gani?wanachokifanya ni ku float na application fee, mna apply watu 30k, wanapata watu 500, waonyeshe vyanzo vya mtaji wao
I have doubt wid ur maters coz u fail to reason as an educated person may be u're most excellent on economic and not otherwise and I guess dat could be true it's exactly u're poor on other field rather than ur field ok just accomplish ur PhD coz u resemble to magu's cabinet but sorrysimply nna MBA, nnamalizia digrii yangu ya tatu UDSM, huku nimeanza pia PGD ya taxation hapa chuo cha kodi
Acha fikra potofu! Think bigAcha upuuzi, mimi mwenyewe ni kijana tena very smart, haihitaji akili ya ziada kutambua frauds kama hawa
Nawapongeza hawa vijana kwa kuja na wazo mbadala la kurithi HESLB. Wapewe nafas ya kujieleza na kusikilizwaTaasisi ya Misaada ya Kijamii (TSSF) imeamriwa kusitisha shughuli zake zote kuanzia Novemba 14, 2017 na Msajili wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs).
Ni ile taasisi iliyodai inatoa mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu.
View attachment 631280
You don't know me and i care less of what you think about me, matter of fact these guys are frauds, haiitaji jicho la ziada kutambua. Let them show the source of their funds, how they finance their salaries & operation costs. Wamechoka na ma director wenyewe wanahitaji mkopo wakae kama ma director wa taasisi inayotoa mkopoI have doubt wid ur maters coz u fail to reason as an educated person may be u're most excellent on economic and not otherwise and I guess dat could be true it's exactly u're poor on other field rather than ur field ok just accomplish ur PhD coz u resemble to magu's cabinet but sorry
Even if ur response to them was to ask how and where they wanna get dat fund of our youngsters unfortunately most of people including you the educated one you just suspect them dat they are fraud just b'se their appearance do not match as u want???You don't know me and i care less of what you think about me, matter of fact these guys are frauds, haiitaji jicho la ziada kutambua. Let them show the source of their funds, how they finance their salaries & operation costs. Wamechoka na ma director wenyewe wanahitaji mkopo wakae kama ma director wa taasisi inayotoa mkopo
hawataweza kuendelea baada ya hapo think, 30,000(tsh) × 60,000(applicants) =1.8B wakitoa mkopo kwa wanafunzi 250 (average 7M ) kwa miaka mitatu amounts to 1.75B (kila mwaka na ukae ukijua hawatoi 100% na hawatoi kama lump sum, piga yearly, na baada ya hapo wanakuja kuzirudisha hizo pesa kwa kuwadai wanufaikaji. Wanatambaa na application fees tuu wahuni hawaKwa kutumia hio application fee, ndio wataweza kulipia mikopo semester zote?!!
man i know exactly what they are doing to our young sisters and brothers, exploitation is what i call it. i can't say that the institution is vying with HESLB, but taking advantage of HESLB weaknesses. The board itself can receive 60k applications and come out with 30K loan beneficiaries, unfortunately your institution cannot do that, you are looking at floating with application fees to give 100 - 200 student's loan and pocket the rest of money, FraudsEven if ur response to them was to ask how and where they wanna get dat fund of our youngsters unfortunately most of people including you the educated one you just suspect them dat they are fraud just b'se their appearance do not match as u want???
Ok if we overlook the issue of frauding the application fee which 30k which is exactly similar to dat of HESLB we used to apply and even not all applicant of HESLB received the loan why we didn't suspect and regard Heslb as fraud?????
Director wa bongo moviesWw ni director wa nn? Au ndo director wa housegirl na houseboy bro!
Chadema imekuwa nchi!!? kwann wasikamatwe, aacha ushamba.Safi hao ni Mafisadi. I hope watahamia Chadema na kupokelewa kwa shangwe
Umekosea bashite anachukiwa sababu ya ushamba wake na kuongoza kikosi cha mauaji na utekajiUlitaka madirector waweje? Acha fikra fupi. Inawezekana ikawa organization mpya kuna mtu kaweka hela yake afu wameajieiwa vjana waiendeshe. Tunatofaitiana sana, wapo vjana wanaojiamini kufanya mambo makubwa. Ndo maana mnaishia kumchukia makonda bila sababu mnazozijua. Andrew Lajoulina alimpindua Lavaro Manana akiwa na umri wa miaka 26 wkt huku kwetu umri huo bado mtu yupo kwa baba na akimaliza chuo, anamsubiri mjomba amuunganishie kazi
OK. Basi unahitaji elimu UA utambuzi. Alafu hauna exposure ndio maana unafikra na maono finyu. Siku ukibahatika Kurils nje ya Tz ndo utaelewa namaanisha nini.simply nna MBA, nnamalizia digrii yangu ya tatu UDSM, huku nimeanza pia PGD ya taxation hapa chuo cha kodi
kachukue mkopo basiAcha dharau, hii ndio shida yetu waTZ tuna wivu na hatupendi MTU afanikiwe. Ifike mahali tupeane support na kuacha personal traits na chiki