Jamaa yupo tayari kutoa 4m aujaelewa nn hapo.ihii jf boss watu awapo tayari kurelease namba kiolela kama unavyodhani.wewe kama unakula 4m mpe jibu yeye ampe sister maelezo kesho mfanye bihashara
Asante mkuu swali kumtu sana....kuna mama namfahamu yeye anafanya kazi bagamoyo analala dsm bunju ...gari yake kila siku inakanyaga mileage zaid ya sabini..sasa nahuyu atakapo uza watasema gari ya mama
Amefugisha watu sungura weeeeeee ..akiwaaminisha nyama ya sungura dili,mkojo wa subgura dili watu wamejenga mabanda kwa gharama kubwa na kununua sungura kwa pupa sasa hivi familia zinalazimika kula sungura kwa sababu nje soko alipo ulikuwa ni usanii..alafu ihii kauli ya kusema wanamuunga mkono...
Hofu aliyonayo waziri ilinitokea wakati ninatongoza kwa mara ya kwanza nilikuwa naogopa kupigwa kibuti mwishowe nilipigwa kibuti ..lakin nilizoea maisha yakasonga waziri usiogope kutumbuliwa ni moja ya matukio awamu ihì
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.