Tutafika? Waziri Kamwelwe athibitisha watumishi wa umma kutofanya kazi kwa weledi kutokana na hofu ya kutumbuliwa

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
12,516
2,000
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwele ameelezea hofu aliyo nayo dhidi ya uwezekano wa kuvuliwa uwaziri wakati wowote ule, lakini ameongeza kusema kuwa yawezekana hiyo ndiyo hofu ya mawaziri wengi.

"Maana ukisikia Waziri Mkuu akitumwa kwako na Rais, maana yake kuna kitu umeshindwa kufanya. Tusiruhusu hilo likafika, vingenevyo nitang'oka" alisema Kamwele.

Tafakuri yangu mimi apa M-Mbabe......
Kiongozi mkuu awape space wasaidizi wake ili watekeleze majukumu yao kwa kujiamini.
Anajipa pressure ya bure ku micro-manage vitu ambavyo viko chini kabisa ya ngazi yake.
Ndiyo maana akikwama inafikia hata hatua ya kutumia taasisi nyeti kama JWTZ kwenye masuala ambayo ni misuse of resources.
Besides, JWTZ hawapaswi kuhusishwa kabisa kwenye haya masuala (kwa mfano kama haya ya korosho) yenye msukumo wa kisiasa. Tunatengeneza very dangerous precedence huko mbeleni, hususani kwenye hii pluralism era kwani those soldiers nao ni binadamu na wana utashi wao kiitikadi na kiimani.

Ni ushauri tu, kwa nia njema kabisa. Unaweza kupokelewa au kukataliwa lakini Tanzania ni yetu sote ujue!
 
Sumti

JF-Expert Member
Jan 30, 2016
1,645
2,000
Chanzo: MWANANCHI (leo 16.11.2018)

Kutumia Jeshi sio misuse ya resource ila jukumu letu. Jukumu kubwa ni kulinda mipaka ya nchi na kufanya shughuli zooooteeee za kijamii wakati wa amani. Acha kupotosha. Kuna siku tutakulaza ndani saa kumi na mbili kamili.
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
12,516
2,000
Kutumia Jeshi sio misuse ya resource ila jukumu letu. Jukumu kubwa ni kulinda mipaka ya nchi na kufanya shughuli zooooteeee za kijamii wakati wa amani. Acha kupotosha. Kuna siku tutakulaza ndani saa kumi na mbili kamili.
najua kwa kuandika hivi umeingiza siku tayari. hongera, mimi nigawie soda tu ndugu!
 
Babuu blessed

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
1,371
1,250
Hofu aliyonayo waziri ilinitokea wakati ninatongoza kwa mara ya kwanza nilikuwa naogopa kupigwa kibuti mwishowe nilipigwa kibuti ..lakin nilizoea maisha yakasonga waziri usiogope kutumbuliwa ni moja ya matukio awamu ihì
 
GONZZ EPACLEM

JF-Expert Member
Dec 3, 2016
265
250
wang'ote tu kama wameshindwa kazi, wabunge wapo wengi tu wanaotaka uwaziri na kuendana na kasi ya JPM, aseme tu tu kama amechoka kiroho safi
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
20,246
2,000
Wangegoma, ningesema basi kwakua kila mtu ana free will awaache, ila wao wameona ni sawa kutekeleza anachotaka Amiri Jeshi kwahiyo tusiojua itifaki tukae chonjo
 
areafiftyone

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
8,386
2,000
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwele ameelezea hofu aliyo nayo dhidi ya uwezekano wa kuvuliwa uwaziri wakati wowote ule, lakini ameongeza kusema kuwa yawezekana hiyo ndiyo hofu ya mawaziri wengi.

"Maana ukisikia Waziri Mkuu akitumwa kwako na Rais, maana yake kuna kitu umeshindwa kufanya. Tusiruhusu hilo likafika, vingenevyo nitang'oka" alisema Kamwele.

Tafakuri yangu mimi apa M-Mbabe......
Kiongozi mkuu awape space wasaidizi wake ili watekeleze majukumu yao kwa kujiamini.
Anajipa pressure ya bure ku micro-manage vitu ambavyo viko chini kabisa ya ngazi yake.
Ndiyo maana akikwama inafikia hata hatua ya kutumia taasisi nyeti kama JWTZ kwenye masuala ambayo ni misuse of resources.
Besides, JWTZ hawapaswi kuhusishwa kabisa kwenye haya masuala (kwa mfano kama haya ya korosho) yenye msukumo wa kisiasa. Tunatengeneza very dangerous precedence huko mbeleni, hususani kwenye hii pluralism era kwani those soldiers nao ni binadamu na wana utashi wao kiitikadi na kiimani.

Ni ushauri tu, kwa nia njema kabisa. Unaweza kupokelewa au kukataliwa lakini Tanzania ni yetu sote ujue!
Lakini kwa nini Watanzania tumefika hapa?Kwa nini
tusi- perform mpaka Rais akafika mahali akasema,yes I am impressed.Why should he have to intervene kwa kuwa somebody somewhere has not delivered.No we have problems.Nadhani the past three phase governments:two, three and four, ndizo zilizo impart hii laissez faire and me first attitude.We have to change.
 
Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,399
2,000
Ukitaka uifurahie kazi unayoifanya, uwe tayari kuipoteza. Nilipoajiriwa hapa, nilikuwa na hofu, what if I lose this job. But nilipoamua liwalo na liwe, I became the happiest employee, because I dont care about being fired any more. U cant believe huu ni muda wa kazi but me nimesharudi nyumbani kulala. Am simply tired.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom