Recent content by BabuLeo

  1. B

    Nahitaji Kuku wa kienyeji pure wakubwa

    Habari nina tafuta kuku wa kienyeji pure kwa ajli ya kufuga wale mbegu kubwa. Nipo Dar es salaam kwa alyenao tuwasiliane.
  2. B

    Ujenzi wa uzio wa matofali

    Thanks nlitaka tu a rough estimates nianze kukusanya mdogomdogo
  3. B

    Ujenzi wa uzio wa matofali

    Habari naomba kuuliza makadirio ya ujenzi wa uzio wa kawaida tu wa matofali kwenye eneo lenye urefu mita 120 na upana mita 80 inaweza kutumia matofali mangapi? Nataka nianze kukusanya tofali mdogomdogo
  4. B

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Mi natamani Kumla Zeruzeru
  5. B

    Natafuta mbegu ya miche ya mchongoma

    Huko ni wapi mkuu?
  6. B

    Natafuta mbegu ya miche ya mchongoma

    Habari wadau. Nahitaji kupanda michongoma kama fensi kuzunguka eneo langu la kama ekari moja na nusu hivi. Eneo liko mlandizi kama kuna mtu ana mbegu au miche naomba tuwasuliane pia naomba maoni ya namna Bora ya kupanda hii kama fensi. Pia kama kuna mtu anajihusisha na haya mambo yuko tayari...
  7. B

    Natafuta mizinga ya nyuki

    Nashukuru Sana nitamtafuta
  8. B

    Natafuta mizinga ya nyuki

    Habari wadau, Naomba kama kuna anayefahamu namna ninaweza kupata mizinga ya kufugia nyuki. Kwa ajili ya kuweka shambani kwangu. Ninahitaji michache kama mitano hivi. Mimi nipo Dar es Salaam Ila nataka kuiweka Mlandizi. Tafadhali Kwa anayejua wapi naweza kupata naomba msaada. Asanteni sana.
  9. B

    Natafuta duka linalouza vitabu vya risiti

    Wakuu Habari, Wapi naweza pata duka linalouza vile vitabu vikubwa vya kuandikia Risiti za mkono kwa hapa Dar?. Nataka kuanza biashara ndogo nahitaji hivi vitabu kwa ajili ya Risiti na kumbukumbu msaada anayejua upatikanaji.
  10. B

    Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?

    3some ffm nataka Sana kufanya hii
  11. B

    Uuzaji wa mitungi ya Gesi

    Ndugu habari zenu Ninataka kufanya biashara ya kuuza gesi ya kupikia majumbani. Yaani kama Oryx, Taiga etc. Ninapotaka kuuzia ni Manzese. Naomba ushauri wenu juu ya namna ya kupata huo uwakala, pili nahitaji kuwa na mtaji kiasi gani Kwa kuanzia (frame ipo) na mambo gani napaswa kuzingatia...
  12. B

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    Mkuu nataka Toyota liteace au Suzuki carry zinaweza kuwa bei gani
Back
Top Bottom