Recent content by Babu sea

  1. Babu sea

    JamiiForums Tanzania Nadhani kuna kitu tumefichwa kuhusu mwenge

    Images Videos News Maps Books Finance Hapa kuna tafsiri sahihi ya Kiswahili ya kifungu ulichotuma, ikisomeka kwa mtiririko ule ule ulioishia kwenye ujumbe uliopita: Tafsiri ya Kiswahili: Kosa la Sadfa (The Fallacy of Accident) — Inaendelea Uchambuzi wa Mfano wa "Nyama...
  2. Babu sea

    JamiiForums Tanzania Nadhani kuna kitu tumefichwa kuhusu mwenge

    Nadhani unasema unasema tunapaswa kuokoa fedha kwa kufuta Mwenge. Lakini ukweli ni kwamba, kufuta Mwenge ndiko kutakakogharimu serikali fedha nyingi zaidi! Mwenge mmoja unapokataa mradi mbovu wa maji wa bilioni mbili kule kijijini, unakuwa umeokoa kodi za wananchi ambazo zingepotea. Gharama ya...
  3. Babu sea

    JamiiForums Tanzania HOJA Kuna haja ya kupitia upya sheria na adhabu zake. Mtu kuhukumiwa miaka 20 jela kisa kukutwa na Mkaa na miti ya mninga haikubaliki

    Ni kweli, kwa mtazamo wa haraka juu ya thamani ya fedha ya shilingi milioni 5, adhabu ya miaka 20 inaweza kuonekana ni kubwa mno na yenye hisia kali. Napenda kuwapongeza wale wote wanaoonyesha huruma kwa ubinadamu. Hata hivyo, jambo la msingi tunalotakiwa kuliangalia hapa si thamani ya mbao hizo...
  4. Babu sea

    JamiiForums Tanzania Unatumiaje laki tatu kwa mwezi?

    Jamani wanajamiiforums ninapokea mshahara laki tatu na nina mke na watoto wawili ninalipa kodi 30,000 kwa mwezi, kinachonitesa ni hesabu za kubalance mpaka hiyo hela ieneee mpaka mwisho we mwezi nifanyaje ili niweze kubakisha kiasi niweke akiba. Msaada wenu please..
  5. Babu sea

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Truly Americans has something to think.
  6. Babu sea

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ka google mwenyewe yaani unataka nikutafunie kila kitu kwani wewe njiwa.
  7. Babu sea

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kisheria kutokujua kwako sio utetezi.
  8. Babu sea

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kama Uktain anateknolojia kuzidi Russia kwanini asirudishe Donbass,Kherson na zaparozye
  9. Babu sea

    JamiiForums Tanzania Walio single wote hawana furaha 100%

    Nilicho jifunza toka kwa mtoa mada ni kuwa mapenzi sio pesa peke yake ila pesa inacheza nafasi kubwa kuleta furaha katika mapenzi..kiukweli mtoa mada umeniacha njia panda.
  10. Babu sea

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukrain apake tu mafuta na kuinjoy show maana hakuna jins.
  11. Babu sea

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kuna ule msemo if i can not hit the moon i can shot the stars according to Ukraine.
Back
Top Bottom