Recent content by babu na mjukuu

 1. B

  Polisi Tanzania wamkamata Profesa Lipumba

  Mchawi hujulikana. Si lazima avae kaniki au atembee uchi Sent using Jamii Forums mobile app
 2. B

  Msaada:- King'amuzi kipi kinaonesha ligi ya mabingwa ya CAF?

  Hahahaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
 3. B

  Msaada:- King'amuzi kipi kinaonesha ligi ya mabingwa ya CAF?

  Huenda we ukawa mgonjwa zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
 4. B

  CURRENTLY BBC

  Idhaa ya kiswahili wametangaza. Sijui upande wa lugha nyingine Sent using Jamii Forums mobile app
 5. B

  Msaada:- King'amuzi kipi kinaonesha ligi ya mabingwa ya CAF?

  Hata Mwadui kwani kamtoa jasho mtoto wa TFF anayedekezwa Sent using Jamii Forums mobile app
 6. B

  Laini yangu ya Tigo baada ya kuisajili kwa biometric imekuwa na maajabu!

  Binafsi nimesajili Voda na Halotel. Sikuulizwa hata kama ipo hewani. Nimewatajia no yangu. Nikawapa kitambulisho. Kwisha. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. B

  Naomba kujuzwa kuhusu umiliki wa dizzim fm na dizzim tv

  Mahubiri hayo bado yapo kanisani kwenu!? Sent using Jamii Forums mobile app
 8. B

  Kumbe Lugola alicho sign ni Memorandum of Understanding (MOU) na sio Contract! Magufuli hajui kuwa MOU haina nguvu ya kisheria?

  Vyovyote umuonavyo,unapaswa kumuheshimu. Huu uhuru unaoupata JF wakutukana ipo siku utajuta. Na JF inajishushia heshima kwakuwaacha watu kama ninyi kumtukana raisi wa nchi Sent using Jamii Forums mobile app
 9. B

  Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

  Kama cdm wasivyokuwa na mtu wa kushika uenyekiti tafauti na sultani Mbowe Sent using Jamii Forums mobile app
 10. B

  Nina plan ya kuja bongo ndugu zangu ila ningependa kujua hali ya usalama kwa sasa ikoje?

  Jifunze basi japo kuandika. Au ndio uandishi wa huko nje ulipo? Sent using Jamii Forums mobile app
 11. B

  Nchi 10 zenye technology bora ya makombora duniani

  Walokole bwana.... Atoe technology halafu amtegemee mmarekani kwa ulinzi!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
 12. B

  Gazeti la msimbazi na matangazo ya freemason

  Simba wenyewe ndio imani yao,na hao wanaoyaleta ndio waganga wao. Vipi wawakatalie. Nao wakigoma kumpa Kagere hirizi itakuwaje? Sent using Jamii Forums mobile app
 13. B

  Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

  Anajua anawamiliki ma mbumbumbu. Yupo salama.kila atakachosema wanaitikia tuu Sent using Jamii Forums mobile app
 14. B

  Kwanini Iran itapigwa mapema mno

  Na ukweli wale ni mayahudi zaidi kuliko kuwa waislamu Sent using Jamii Forums mobile app
Top