Recent content by BABU KIZEE

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbasha, Flora wasaka suluhu kurudiana

    Mmh! Wadau punguzeni maneno makali.
  2. B

    JamiiForums Tanzania USHAURI; Unawezaje Kuepuka Hofu Ya Kushindwa Unapotaka Kufanya Jambo Jipya?

    Vya kiswahili ni bei moja na hivyo.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuuza deni kwa haraka 30 mln

    Mh 1403261408904jpg
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanja Morogoro kinauzwa

    Mh! Kujenga nako inshu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi unavyoweza kufanya biashara yenye mafanikio ukiwa bado umeajiriwa

    Nina mtaji laki tano naweza anza biashara gani ya bidhaa, nko korogwe?
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hii imekaaje katika mahusiano?

    Habari zenu wote wanajamvi, Kuna dada mmoja nimeanzanae mahusiano hivi karibuni yapata wiki moja, Anadai nikajitambulishe kwao hivi wakuu hii imekaaje ukizingatia ni muda mfupi tuliofahamiana? Natanguliza shukurani kwenu naombeni ushauri tafadhali.
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni ugonjwa au kitu gani?

    Sasa si muwafate na kuwambia huku MMU hakuna watu kama hao.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Taja mifano ambayo ilikufurahisha pindi unaposoma

    Mfano wa kambi ya wakimbizi iliyoko Kenya ni KAKUMA , mifano mingine itaje.
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetegeka kwa huyu mtoto wa mama mwenye nyumba

    Wakuu naomba ushauri , mimi naishi kwenye nyumba ya kupanga na mama mwenye nyumba mwenye mtoto mmoja wa kike , nimepanga chumba ambacho pembeni kuna chumba cha huyu mtoto wa kike wa mama mwenye nyumba na karibia mwaka mmoja na nusu toka nianze kuishi hapa , kila ninapo muona huyu dada navutiwa...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AKA KABINTI SPECIAL VIPI TENa

    Nina mpenzi wangu tumekuwa nae muda mrefu bila kupeana wet kiss leo nikataka kujaribu kumkiss nikakutana na harufu fulani ambayo sikuipenda na nikazuga nimesahau kitu fulana ili kuepukana na hali hiyo, naomba kuuliza wakuu hivi hii hali husababishwa na nini na anaweza tibika huyu. Kwa mtazamo...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe kuhonga kuna raha yake

    Jamani mbona mwawaka hivyo huyu kimwana sio kwamba nataka nimchezee , nataka kumuingiza ndani jumla, huwa nijisikia furaha nikimuonga na binti kadisenti kiana fulani kwa kweli kananikosha lazima nitaendelea kukahonga hakuna hatakaye nizuia kwa ili wakuu.
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe kuhonga kuna raha yake

    Wakuu habari zenu nimetokea kuvutiwa na kimwana mmoja ni mzuri hatari, nimejikuta nikichomoa hela laki moja bila kusita , wakuu naomba kuuliza hivi niko sawa kweli katika kufikisha hisia zangu kwa huyu dada kuwa nampenda,na pia huwa naona raha sana kumuonga huyu mrembo.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza kiwango cha chini cha kuweka pesa fixed account crdb

    Naomba wanaojua wanisaidie.
Back
Top Bottom