Recent content by Babu Kijana

 1. B

  Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

  ni kweli cdm nilijua tu wanataka bifu ili waendelee kupiga michango ya faini za mahakama, na pia ili akina Lissu na Lema wachangishe michango wakiwa ughaibuni. Umeona baada ya Mbowe kukamatwa wameanza kuchangishana eti ili wapate pesa za kuzunguka duniani. Bila heka heka za cdm vs polisi cdm...
 2. B

  Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

  CHADEMA wanazipenda confrotational politics ila mwisho wa siku wao ndio huumia, ila nimejifunza kitu, hizi kesi huwafanya kupiga hela za michango tu hamna lolote.
 3. B

  TANZIA Baba mdogo wa Freeman Mbowe afariki dunia

  Mbowe angetulia tu kwenye msiba wa kakake yote yasingemkuta haya, sema nimejifunza kitu kimoja, Cdm hawawezi siasa za maridhiano kama alizotaka kuzifanya mama mwanzoni, siasa za maridhiano haziwapi mileage
 4. B

  Rais Samia kweli umedhamiria kukusanya Kodi za dhuluma hadi kwenye mbolea?

  Watz tunapenda cheap cheap sana tupige kazi tuache kulalamika
 5. B

  Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

  Ni vizuri sisi raia kuchangia pato la taifa, nchi iliharibika sana nakumbuka Tundu Lissu kwenye kampeni alisema Magu kaharibu sana uchumi wa nchi wa nchi hii na itachukua miaka mingi ku-reform hiyo damage. Basi tumuunge mkono mama mie binafsi nina furaha kulipa hayo makato ili mradi maendeleo yaje
 6. B

  Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

  Tupatie na mkataba wa ujenzi wa airport Chato
 7. B

  Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

  Chadema/Upinzani bora mfanye mchakato wa katiba mpya 2025/2030 kwas sasa hilo bunge la CCM litasimamia huo mchakato na katiba tutakayoipata itakuwa ni kiccm CCM tu mtapigwa tena, subirini mrudi bungeni kwanza.
 8. B

  TANZIA SSGT Reginald Ruta wa JWTZ amejiua kwenye Kaburi la marehemu Mkewe

  yeye anatoa wosia wanae wasiache kusali huku anajiua, angesali kwanza yeye mungu ampe ujasiri wa kufiwa.
 9. B

  Hivi nyie wanawake mnaotaja majina matakatifu mnaponyanduliwa, mnapata wapi huo ujasiri?

  Hii kitu naitafuta sana ila ask my sijui ni maduka gani ipo
Top Bottom