Recent content by babu chiii

  1. babu chiii

    JamiiForums Tanzania RC Dodoma Dkt. Binilith Mahenge hajafikisha umri wa kustaafu kweli?

    katika wakuu wa mikoa wachache sana wanaojielewa huyu mkuu wa mkoa wa Dodoma ni mmoja wapo
  2. babu chiii

    JamiiForums Tanzania Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara

    hizi ni porojo tuu..hawa watu ni mabingwa wa mipango na mikakati inayokufa kabla ya kuanza..eti daraja linaloelea Sent using Jamii Forums mobile app
  3. babu chiii

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu ambacho Bwana Mkubwa amekiandika kwa muda wa miaka 4 na miezi miwili sasa

    muogope MUNGU we jamaa...iko siku ukweli ukijulikana sijui mtaficha wapi sura na roho zenu za kishetani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. babu chiii

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa ndani CHADEMA: Kanda ya Kati wamkataa Nyalandu. Wadai haaminiki anaweza kuunga juhudi wakati wowote

    ati ana msimamo hadi amekimbiwa na mke[emoji3]...sifa za kijinga hizo
  5. babu chiii

    JamiiForums Tanzania Serikali pigeni marufuku pombe nchini

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  6. babu chiii

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

    mbona kama umepanic mkuu...january ilikuwepo na itaendelea kuwepo hatuiogopi
  7. babu chiii

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    huoni kama huku ni kulazimishana..wamewaachia uchaguzi wenu,nini mnahangaika ccm
  8. babu chiii

    JamiiForums Tanzania Makonda: Maduka yote Dar yafunguliwe saa tano kesho

    DAB kichwa yake imejaa machicha ya mbege kabisa......
  9. babu chiii

    JamiiForums Tanzania Mtego kwa ajira vijana wasiojiandikisha hawatapa ajira watakula jeuri yao

    acha kufundisha watu uoga wewe....
  10. babu chiii

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo: Zaidi ya watu milioni 11 wameshajiandikisha lengo ni watu milioni 26 hivyo zoezi linaenda vizuri sana

    ukweli upi tena wakati hali halisi inaonekana mkuu...ngoma imebuma
  11. babu chiii

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo: Zaidi ya watu milioni 11 wameshajiandikisha lengo ni watu milioni 26 hivyo zoezi linaenda vizuri sana

    hawa jamaa ni waongo sana...sijapata kuona
Back
Top Bottom