Mtego kwa ajira vijana wasiojiandikisha hawatapa ajira watakula jeuri yao

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Jun 9, 2019
416
404
Wakuuu katika kutafakari jinsi serikali inavyo haha kwa raia kujiandikisha, wasije wakaweka mtego kwa vijana mwishowe wawape ajira wale wataojiandikisha na wale wasiojiandikisha waendelee kusota ili liwe fundisho.

Ewe kijana tafadhali tafakari chukua hatua za kuambiwa changanya na zako
Ajira zitatolewa kigezo cha kwanza uwe umejiandikisha kwenye daftari maana ndio uzalendo.
 
Vitisho vya nini? Si mmenunua ndege, sgr, na stigller, wananchi wanawapenda na wanawaunga mkono? Ya nini kulazisha??
 
Wakuuu katika kutafakari jinsi serikali inavyo haha kwa raia kujiandikisha, wasije wakaweka mtego kwa vijana mwishowe wawape ajira wale wataojiandikisha na wale wasiojiandikisha waendelee kusota ili liwe fundisho.

Ewe kijana tafadhali tafakari chukua hatua za kuambiwa changanya na zako
Ajira zitatolewa kigezo cha kwanza uwe umejiandikisha kwenye daftari maana ndio uzalendo.
Wewe lazima unatumia masaburi kuwaza katishe wajinga wenzako punguani wahed
 
Hakuna awamu inayopenda sifa kama hii ya tano! Usikute ilishakua imejiwekekea ndoto ya mchana ya kuandikisha wapiga kura kwa 98% kwa kigezo kwamba inakubalika sana! Kumbe ni kinyume chake.
 
Ndo akiri zenu zimejaa kamasi mpaka sasa ivi unasubiri ajira? Utasubiri sana apa tushagoma waliojiandikisha wanatosha wakipungua wafate wanyarwanda
 
Unaweza ukaambiwa ku renew leseni ya biashara ya Jan 2020 uoneshe uthibitisho wa kujiandikisha.
 
Ukiona serikali imefikia hatua ya kufanya hayo unayo yawaza basi tambua hiyo sio serikali bali ni genge la wahuni lililo iteka nyara nchi yetu.
Hii hoja yako inadhibitisha ni jinsi gani wana ccm wengi ni mapopoma vichwani.
Ungeonekana una akili iwapo ungemshauri jiwe na watu wake, wajifunze kutokana na hili la watu kususa kwenda kujiandikisha na waache kuongoza nchi kama familia zao.
 
Ukijiandikisha hakuna documents wala saini yoyote unayopewa! acha kutisha watu, mijitu mingine kama nyie mipimbi sana;
Ni kweli ukijiandikisha hupewi document yoyote ila kuna mahali pa kusaini utasaini baada ya jina lako.

Lile daftari linatunzwa kwenye ofisi zao baada ya kazi kumalizika.

Hivyo kinachosemwa kama ni kweli wakiamua hivyo inawezekana wakakupata lakini hilo jambo halipo ni uzushi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom