Recent content by Baberes

  1. Baberes

    Hivi ni kweli kwamba huwezi kuwa tajiri kama umeajiriwa au unamfanyia kazi mtu?

    ushauri huu wapa. jifunze kwa tajiri yako angalau kwa miaka 10 ujue nje na ndani ya "ushauri huu" Fanya kazi kwa bidii jitume na uwe timamu kisha unaweza kujiajiri ukiwa na miaka 30 au 40 na ukatoboa. ukiwa na haraka ya kutoboa utantumia Sana mtaji wako mdogo kukosea mwisho utakata tamaa utarudi...
  2. Baberes

    SI KWELI Mama anayenyonyesha akifanya mapenzi anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto

    ata kaa hujui kwa maelezo haya utaamini ni kweli. kuna wale wanajikuta wanafanya DNA test kwa kumla mzazi asipombemenda mtoto anajua mtoto ni wake, wanapoteza muda nendeni kwa wataalamu watoe majibu maisha yaendelee.
  3. Baberes

    Kuweni makini muendapo Acapulco bar iliyopo Mbweni

    kwamba ulifata habari Tu 😃
  4. Baberes

    Mchikichini: Mtaa wa mateja uliotoa vipanga wengi kielimu Dar na mikoani

    hahahah pindi unalipia daily... Wazaramo wanapita kukusanya sadaka kama banda la mpira
  5. Baberes

    Kero ya foleni asubuhi Barabara ya Kawawa

    kweli Leo Kawawa hali ni tete
  6. Baberes

    Natafuta Soko la mayai

  7. Baberes

    Macho ya rohoni huona zaidi ya kuona | Sauti ya rohoni husikika zaidi ya kipaza sauti

    asante kwa elimu. Ndugu napenda kuuliza jinsi (namna) ya kutuliza akili/fikra ili nipate kuiskia sauti na kuona nuru yangu ili nipate kusimama na shughuli moja, niache kutazama Kila fursa niionayo au kuambiwa. Asante, Nawakilisha
  8. Baberes

    Namna bora ya kutokomeza biashara ya ukahaba

    Anza Na faida mkubwa 😊
  9. Baberes

    Top ten wonderful names from Tanzania

    CHAMA TANU huyu nsumba s,s 2014 form six
Back
Top Bottom