Recent content by babe S

  1. babe S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari TANESCO, niko Tanga Hapa nilipo hatuna umeme kuanzia asubuhi mpaka sasa saa sita usiku na ni eneo dogo sio mtaa wote, nimejaribu kupiga Tanesco Tanga emergency simu zao hazipatikani. Kwa kweli ni tatizo
  2. babe S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Eneo ni mikanjuni Tanga, na hata sasa ninavoandika hamna umeme, unakatika kila siku
  3. babe S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO Tanga kuna tatizo gani!? Umeme unakatika kila siku jana umekatika saa 9 mpaka saa tatu na nusu usiku, na leo umekatika tena bila taarifa na tukipiga simu zenu kuulizia zinakua busy aall the time au haziendi! Please help! Au atleast mtueleze shida ni nini na ni tatizo la mda gani ili...
  4. babe S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwa kweli kwa Tanga umeme umekua changamoto kila siku au baada ya siku moja lazima umeme ukatike, Mikanjuni sasa hivi hamna umeme!!! Inachosha kwa kweli na hatutaarifiwi kama ni mgao au la! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. babe S

    Ni kwa namna gani chatu anaweza mmeza mamba?

    Wapo baadhi ya sehemu kwenye mito mito!
  6. babe S

    Ni kwa namna gani chatu anaweza mmeza mamba?

    Anaitwa sawaka ni chatu wa majini kwa maneno mengine!
  7. babe S

    Taja hofu inayokusumbua

    Hahahahahahah!!!!
  8. babe S

    Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

    Kwenye saga lote hili aliyechafuka ni Chadema! NEC hajachafuka kiasi cha kuhangaika kujisafisha!
  9. babe S

    Nisipo mtoboa mtoto wangu wa kike masikio kuna shida?

    Mh... Hapana anapotobolewa mapema ni vizuri zaidi maana linapona haraka zaidi!
  10. babe S

    Kwanini Tanzania hatuna Marafiki wa "Maana" hapa Afrika?

    Ila hizo nchi ulizotaja zilileta wawakilishi tena wenye positions kubwa au ulikua unamaanisha kwa upande wa Marais tu ?!
  11. babe S

    Lissu nilikuonya Amsterdam anakuharibia hukusikia, sasa umevuna ulichopanda!

    Worse enough alikua anamponda tu Magu bila yeye kusema solution concrete na ninadhani kilichomharibia zaidi anaponda vitu ambavyo watu wanaona vimefanyika! Heri angekuja na hoja kama za Queen Sendiga angepata kura nyingi zaidi
  12. babe S

    Uchaguzi 2020 SADC yaipongeza Tanzania kwa kuendesha Uchaguzi halali

    Shida Wazungu hawaishi Tanzania, kuna watu kibao wanaomkubali Magufuli wengine hawako hata mitandaoni ukipata bahati ya kukutana na watu mbalimbali/tofautitofauti unaweza ukashangaa idadi ya watu wanaomkubali!! Ndo maana nikasema ni heri kusema baadhi ya Watanzania
  13. babe S

    Uchaguzi 2020 SADC yaipongeza Tanzania kwa kuendesha Uchaguzi halali

    Ingekuwa vyema zaidi kama ungesema " baadhi ya watanzania"!!!!
  14. babe S

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

    Kwani zile namba si zinabaki kwenye kile kitabu, karatasi ya kura haina namba yoyote!
Back
Top Bottom