Ni kwa namna gani chatu anaweza mmeza mamba?

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
Hapa bado natafakari, inawezekanaje?
 
Chatu Ni mjanja akishamnyongea mamba kwenye maji anatoa kichwa chake juu apate pumzi huku mamba akishikiliwa chini ya maji hata lisaa lizima akose pumzi
 
Mamba wanaoliwaga na nyoka au jaguar ni wako Amerika au Australia. Nile corocodile la Africa ni ishu nyingine. Lakini pia, kwanini nyoka au chui akila mamba nyongo ya mamba haimuui?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom