Recent content by Babaticha

  1. B

    JamiiForums Tanzania Zakaria air bus yaua Sirari

    Mkuu MUWAZI khabari hzo ni za kweli na Tumepoteza Sister katika Ajali hyo,Its too Sad tunataraji kumpumzisha leo 22/07.Mwanza Mjini Maeneo ya Nyakato
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tumshauri

    Wakuu Habari Nina rafik yng amenitaka ushauri,kwa ss ni muajiriwa jijini Mwanza ktk moja ya Tv Station, ila ameitwa katika Usaili wa kazi Serikalin ambao utakw Al khamis ya wik hii,aliemuita amempa uhakika wa Kupata kazi hyo mana yy n Director ktk Nafasi hzo. So ananiuliza afanye nn
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni maana ya Per Diem

    Jaman nmekutana na Neno hili PER DIEM kwa maana kuna kazi ya namna hyo maana yake ni nini
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi:Madaraja ya Ufaulu A-Level

    Mkuu Jeri naomba unifafanulie maana nategemea kufanya pepa kama PC VI Mwakani.So kwa ss PC inakuwaje..???
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi:Madaraja ya Ufaulu A-Level

    Habari Wakuu Nimepata tetesi kwamba kumefanyika mabadiliko katika Madaraja ya Ufauru kwa Advance Tafadhari kwa anae jua juu ya hil atujuze zaid.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada Kureseat Advance

    Ninamatarajio ya Kufanya tena Mtihani wa Kidato cha 6 Mwakani 2015 Kwani nlifanya kama School Candidate mwaka 2011,Katika Comb Subject Nlikuwa na Matokeo haya (H-S K-S L-S) pamoja na GS-S. Kwa Matokeo hayo ninataka kufanya masomo hayo yote ya Comb ila kuna mtu alinambia ni lazima nirudie had...
  7. B

    JamiiForums Tanzania swala hili linanifikirisha sana, naomba michango yenu wana JF...........

    Mkuu MKIU hadi nmitoka chozi kwa Cheko...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wadau wa kiswahili

    Napenda mnijuze Maana ya Silabi na Njia zinazotumika katika Uundaji wa Silabi
  9. B

    JamiiForums Tanzania usahuri wako n muhimu

    Nashkuru sana kaka Daud
  10. B

    JamiiForums Tanzania usahuri wako n muhimu

    Wanajamvi mm n kijana wa miaka 24 kwa sasa,nimehtim kidato cha sita mwaka 2011 Mwanza sekondari mchepuo wa HKL.Matokeo yangu hayakuwa mazuri sana kwan nilipata div 4 ya pointi 18 kwa maana SSS kwa masomo Yote.Awal nlkw namatarajio na pia n hobby yang kubwa kuja kufanya kazi mojawapo kati ya hizi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania self image psychology

    Self Image Psychlogy(SIP),Hii ni dhana ambayo unfanya Mtu kujitambua Binafs katika Mambo mbalimbali.Ni hali ya Mtu kujielewa vyema na kujitazama katika mambo yako kwa kina kabl a ya yeyote yule Hal hii inamfanya mmoja kujiuliza baadh ya Maswal ambayo yatakuwa na Tija na Faida kwake,mfano ye ni...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kiukweli sipend ndugu nyumbani kwangu

    Jamani haya yanatoka Moyoni hadi nimefikia hatua nataka kuoa,Lakini sipend tena sipend kuona ndugu wa Mwanamke kwangu uwa nakereka mana nahtaj nafasi nivinjari na Mke wangu, Jamani sipend na siwatak ndugu wa Mke wangu kwangu...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma uwezavyo ukiwa kwangu hamna kufanya kazi

    Yan Umengusa khaswaa
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma uwezavyo ukiwa kwangu hamna kufanya kazi

    Mwanamke tulizo kwa Mumewe imagine nimechoka na Mistress kibao ya Kimaisha na kishughuli unarudi home eti na Mke nae hayupo kaenda kazini.Thubuutuuuuu Nasema ivii kwangu hamna kufanya kazii...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma uwezavyo ukiwa kwangu hamna kufanya kazi

    Mkuu hujasomeka...
Back
Top Bottom