#HABARI Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lembrus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025 amevuliwa nafasi yake ya Uongozi ndani ya Chama hicho Kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan...