Abiria kwake kizuri ni chombo au hilo basi!.Dereva kwake si uzuri wa hicho anachoendesha bali ni maslahi yake.Ndiyo maana wapo tayari kuendesha nyonyamavi kuliko gari lenye vikolombwezo,mwisho wa safari akipiga hesabu hajaingiza hata ndururu zaidi ya kuambulia lawama toka kwa abiria iwapo kawako...
Upigaji punyeto ni sawa na ulevi Wa gongo,viroba,uvutaji unga,bangi nk.Hapa inahitajika elimu kwa sasa toka vyombo husika,maana hili jambo limeshika kasi sana miaka hii na ndiyo maana mada za punyeto ni nyingi sana kwenye mitandao,ni wakati sasa kwa wataalam wa magonjwa ya akili kuja upande huu...
Na hivi sasa hawako pamoja tena,washagawanyika.Kuna cuf ambao ni watanzania bara ambao wanasapoti Ukawa ili mabadiriko yaje.Lakini pia kuna kundi la Cuf Wengi wao ni wapemba ambao wanasema kuliko kuja kumpigia kura ------ (Slaa) ni bora chama kife bara,kwa vile wao Pemba wanauhakika cuf yao...
Cuf wao wanachotaka ni ruzuku na si kuing'oa CCM.Wanasema ikiwa hawatasimamisha mgombea watakosa ruzuku,wao suala la kufanya mabadiriko ambayo watanzania wengi tunayatamani si suala la msingi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.