Recent content by BabaC

  1. BabaC

    Gari inashtuka nikikanyaga mafuta baada ya kusimama

    Hahahaha mikoani hamwezijua hii kitu kinachoitwa foleni ambapo unakaa zaidi ya saa sehemu moja kusubiri foleni itembee ama kumsubiri mheshimiwa apite kwa hiyo ruksa kutuita wanaume wa Dar
  2. BabaC

    Gari inashtuka nikikanyaga mafuta baada ya kusimama

    Hapo kutakuwa na tatizo aisee, cheki na fundi wa uhakika si kila fundi wa magari ana utalaamu wa kila part ya gari, endelea kufanya research taratibu utakutana na fundi wa kukusaidia kutatua tatizo hilo kama upo Dar nenda pale maeneo ya Sinza kijiweni baada ya kituo cha mafuta cha Puma kuna...
  3. BabaC

    Gari inashtuka nikikanyaga mafuta baada ya kusimama

    Brother mafuta yanatembea kwenye foleni kwa hiyo watu wanaopt kuzima, kama upo nje ya Dar mtu akikuambia foleni inavotesa huwezimwelewa. Kuna kipindi unaweza ukakutana na foleni ya kufa mtu ama msafara wa mheshimiwa aisee huweziliacha gari linaunguruma lazima ulizime usikilizie kwanza mpaka...
  4. BabaC

    Gari inashtuka nikikanyaga mafuta baada ya kusimama

    Hata mimi huwa inanitokea, ila nilichogundua ni kwamba mfano ukiwa umesimama ukawasha gari hapohapo ukakanyaga mafuta lazima istuke kidogo ila mfano ukiiwasha ukasubiri kama sekunde tano ukikanyaga mafuta haistuki Na mara nyingi ukiizima kwenye foleni then ukaiwasha na kuondoka ghafla ndo...
  5. BabaC

    Plot4Rent Tunauza Mashamba na Viwanja

    Kwani wewe kujenga na ukamiliki biashara za thamani ya mabilioni kuna shida gani, ama lazima ukopi kwa Wahindi?
  6. BabaC

    Wanawake na nyie mnatumia dawa za kuongeza nguvu za kike?

    Hivi wanawake wao hawawezi kujiandaa ina maana kila siku wao wanatakiwa kuandaliwa tu, mfikage mahali mjiandae basi maana kazi ya kuandaana nayo sometime inaboga tu, mara utamke uongo ooh baby you look hot today, oooh lips zako leo zinashaini, yaani uongouongo tu, mimi kuna muda unafika nacheka...
  7. BabaC

    Nataka kujua vigezo, utaratibu na gharama za kuregister ussd code

    Mkuu USSD inatolewa na TCRA, ukifika TCRA wanakuuliza aina ya USSD unayoitaka mfano inaweza ikawa USSD ya Microfinance, USSD mfano ya malipo ya kawaida. Kwa iyo ukifika TCRA kuna form wanakupa unajaza then wewe unaandika barua ya kuomba USSD ikiwa na layout ya namna unavoenda kutumia hiyo USSD...
  8. BabaC

    Unene huleta kibamia "WATAALAMU"

    Unajua mimi sijui ni ushamba wangu ama sijielewi, hivi kuwa vizuri kwenye bed tafsiri yake ni nini hasa: Je ni mtu kuwa na pumzi kwenda mpaka masaa mawili Ni mtu anaehakikisha anamridhisha mwenza wake hata kama ni sekunde 20 Je ni mtu anaeweza tendo lenyewe round nyingi bila kuchoka Ni mtu ambae...
  9. BabaC

    KIMARA: Wafanyakazi 50 wa UDART wakamatwa kwa kutoa tiketi feki

    Kuna vitu ukivifikiria sana unaweza ukaugua ugonjwa wa moyo bure aisee, sasa karne hii ya sayansi na technologia ambapo serikali inapambana kila kitu kiwe digitized then anatokea mtu anasema mashine za kuingilia mwendokasi wazitoe then watu watumie makaratasi kweli jamani, kuna muda unawezalaumu...
  10. BabaC

    Jinsi baba yangu alivyofariki na kuacha kiasi kikubwa cha Fedha Benki bila Familia kujua

    Huyu jamaa kumbe mtu wa hadithi tu, bora angesema kuwa ni hadithi ila kupiga hadithi ya uongo na ukweli kwa baba yake ni ujinga wa kiwango cha lami, sasa ukute huyo baba yake hata iyo 1M hana kwenye account
  11. BabaC

    Nimeenda ofisi za NHIF kwa ajili ya kujisajili kama mwanachama binafsi nikaambiwa ni milioni 1.5 kwa mwaka. Je, hii ni sawa?

    Ukweli ndio huo mimi naamini katika AAR as its very convenience nimeitumia huu ni mwaka wa 12 sasa, hizo habari za uzee nazo ukifika ni kumshukuru Mungu tu basi.
  12. BabaC

    Nimeenda ofisi za NHIF kwa ajili ya kujisajili kama mwanachama binafsi nikaambiwa ni milioni 1.5 kwa mwaka. Je, hii ni sawa?

    Sasa unahangaika nini km hayo ni malipo ya mwaka kwa mtu mmoja si uende walau AAR ambao card yao ipo inakubalika kila mahali na unalipia tu milioni moja tu
  13. BabaC

    Wamempeleka mwanangu huko Mweka wildlife....Je kuna "future" hapo??

    My friend kushinda na kuishi porini ndo unaona hiyo ni future, anyway kila mtu ana priority yake ila mimi binafsi siwezisomea Wildlife maana napenda sana maisha ya mjini asikuambie mtu
  14. BabaC

    Baada ya kumwambia mke wangu kiasi cha mshahara wangu sasa najuta!

    Mwambie tu haina shida ila hela nyingine ya pembeni kama overtime, night allowance, perdiem na allowance yoyote ile iliyo nje ya mshahara usimwambie. Hiyo itakusaidia kumaliza shida zako ndogondogo mfano mama yako kijijini anaumwa si lazima kumshirikisha mke wako mjadili eti umtumie bei gani...
  15. BabaC

    Wanaume msihangaike na madawa ya kuongeza nguvu za kiume

    Huo ufundi na sanaa ya hali ya juu vikoje hivo boss
Back
Top Bottom