Recent content by Baba Salma

  1. B

    JamiiForums Tanzania SOMA QT, RUDIA NECTA IV 2019

    Hicho kituo chenu kipo wapi,Tarime?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Sijaziona bado ndio nahangaikia kuzitafuta,ntahotaji pc2-3 pekee.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Habari yako mkuu,mimi nataka kuagiza Eyeglasses frames jee itawezekana?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Bei ya Shamba Maeneo ya Mikese, Kijiji cha Fulwe- Morogoro

    Kuna maji ya uhakika kwa ajiri ya mpunga?jee ata heka10 zinaweza patikana?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Bei ya Shamba Maeneo ya Mikese, Kijiji cha Fulwe- Morogoro

    Kimya wadau?
  6. B

    JamiiForums Tanzania WARNING! Tahadhari ya WIZI kwa Wasafiri Uwanja wa JNIA

    Sii kweli....
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Leseni ya madini na gharama yake

    Mkuu The only naomba Msaada WA kujifunza biashara hii
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mwezi Mtukufu wa Ramadhani utaanza kesho Mei, 17, 2018

    Acha kuchezea dini za watu..
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tujiandae kumpokea Mbwana Samatta muda wowote kuanzia sasa!!

    Lazima utakuwa unadaiwa kodi ya nyumba wewe,bisha!!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Zari aongwa Range Rover sport 2017 na msanii wa Injili Kenya

    Haya maisha haya jamani,yani wengine wanahongo Range sisi kuhonga vocha ya buku tu utata!!!ama kweli wenye pesa watakula vinono daima!!!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kuipandisha hadhi manispaa ya Moshi kuwa jiji wanoga

    Good,ni halimashauri ya jiji la Dar na sii halimashauri ya Dar ok?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Delila aliyemsaliti Samsoni, akamatwa rasmi kuzimu

    Ulikuwa hijazaliwa wewe so kakojoe ulale Tu sasa maana hakuna namna!!!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Delila aliyemsaliti Samsoni, akamatwa rasmi kuzimu

    Shukrani mkuu but hongera kwa kuweza kuendeleza kiswahili fasaha,mie najua cha kuombea maji tu,Mwl JK Nyerere aliwahi kusema kwamba wakazi wa jiji la London hawajui kingereza fasaha,kwamba ukikitaka kingereza fasaha uingeteza utakipata nje ya London!!na vilevile na wewe pia inawezekana sii...
Back
Top Bottom