Recent content by Baba Peter2022

  1. B

    Mambo usiyoyajua kuhusu ulimwengu wa kiroho

    Toa elimu zaidi mkuu. Vipi kuhusu mapepo ya ulevi, uzinzi na umaskini?
  2. B

    Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

    Mwamposa Mwakasege Mwaitege Bukuku Mwasongwe n.k NIMEAMINI WANYAKYUSA ASILI YAO NI ISRAEL.
  3. B

    Natafuta ajira, nina ujuzi wa computer, English, counseling

    Umri 35+ Ujuzi: computer, English, counseling. Uzoefu: kufundisha basic certificate course, Patron shule ya sekondari, kufundisha Kiingereza. Kazi ninayoomba: yoyote inayoendana na hizo, iwe ofisini, shuleni au kiwandani. Makazi: Dar
  4. B

    Kiwanda kikubwa cha kijeshi Urusi chatiwa kiberiti

    Eeeh Mungu saidia hii vita iishe, wanaoumia ni wqnanchi wa kawaida
  5. B

    Msaada: Natafuta ajira ndugu zangu

    Umri: 38 years Elimu: Kidato cha sita na computer course. Uzoefu: Ualimu wa computer na kazi ya Patron shule ya sekondari. Uwezo: kufundisha computer, kiingereza na kazi za malezi kwa vijana na wanafunzi. Makazi: Dar es Salaam OMBI: NATAFUTA KAZI YOYOTE HALALI, MASHULENI NA MAOFISINI PIA...
Back
Top Bottom