Recent content by Baba Parokoo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya posho wanayopokea madiwani wa Arusha mjini na maeneo mengine ya nchini

    Aliyeandika ajichunguze ametoa wapi kwanza ndio mlaumu ana udhibitisho wa hayo aliyoyaandika?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nilimwambia Mkuu wa Mkoa aliyetenguliwa Felix Ntibenda kwamba anatafutwa yeye

    Ndio mkuu piga moyo konde kaza gidamu za viatu endeleza safari ya maendeleo na kuitafuta demokrasia pamoja tupo na ww
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mademu wachunaji, mkinichukia poa tu!

    Waambie tu mkuu maana hakuna namna sasa wanakuja kimwendokasi zaidi
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

    Hapa kazi tu tutatifuana vya kutosha wambane vizuri atasema yote
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamume, ndugu yako yeyote anaweza kuwa suluhu ya mgogoro wa ndoa yako?

    Asante mkuu nafikiri hii inaweza kunisaidia asante sana
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamume, ndugu yako yeyote anaweza kuwa suluhu ya mgogoro wa ndoa yako?

    Asante sana mkuu nitafanya hivyo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Anajiita mtumishi wa Mungu huku ananichukulia mchumba wangu

    Asante sana mkuu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Anajiita mtumishi wa Mungu huku ananichukulia mchumba wangu

    Ndio maana nahitaji kichukua hatua kwa sababu tyari keshatupa ngumi nn nikifanye mkuu
  9. B

    JamiiForums Tanzania Anajiita mtumishi wa Mungu huku ananichukulia mchumba wangu

    Ndivyo ninavyoona mkuu asante
  10. B

    JamiiForums Tanzania Anajiita mtumishi wa Mungu huku ananichukulia mchumba wangu

    Sio huria mkuu ila ndio yaliyotokea
  11. B

    JamiiForums Tanzania Anajiita mtumishi wa Mungu huku ananichukulia mchumba wangu

    Asante nitapiga moyo konde japo kupenda si kazi ndogo muda nao ndio huu mh
  12. B

    JamiiForums Tanzania Anajiita mtumishi wa Mungu huku ananichukulia mchumba wangu

    Nitajitahidi mkuu japo inauma sana
  13. B

    JamiiForums Tanzania Anajiita mtumishi wa Mungu huku ananichukulia mchumba wangu

    Sijui kwanini watu wako hivi yaani anajulikana kabisa ni mtumishi anajishughulisha sana na kazi hiyo japo ana kazi tofauti za kujiingizia kipato yaani hajawa mtumishi kamili.Cha kushangaza ni kwamba ameanza tabia ya kukesha kazini kwa mchumba wangu kisingizio ananunua mahitaji nilivyomtilia...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawaza mapenzi

    Hakika hili zigo
  15. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawaza mapenzi

    Najua na wewe umo ndio sababu Bora kuwa mzee maana wangesema tungeenda kuzimu hilo shimo vijana mliomo hamuwezi kutoka hata mwisho uje
Back
Top Bottom