Namba 1 na 2 mkuu naunga mkono 100% na 100% zingine na nakuongeza zingine 100%
Hawa jamaa sijui tatizo ni ushamba ama elimu au umasikini maana umasikini ni wa kiwango cha juu sana huko.
Uchafu kwao ni sehemu ya maisha yao.
Sio wanawake wala wanaume wanashindana kwa uchafu.
Wao wakishavaa zile...
Huna wa kumuongopea hapa, wewe endelea na pumba zako huko hizi sio zama za Habari zote tutapata kwenye TV,Radio na Magazeti.
Hizi ni zama za mtu alipo papo kwa hapo anaweza kutoa Habari sahihi kabisaa so kaa kwa utulivu
Ongeeni nae vizuri asimulie historia yake ya aliopita nao.
Mpelekeni kwenye hospital bila kujali ni kubwa au ndogo iwe tuu yenye madaktari makini.
Ikishindikana kote, mje tufanye maombi maana mbele za Mungu hakuna kinachoshindikana
Sasa ww ndo umenielewa sasaa....
Namaanisha upo kwenye giza la ufahamu wa imani.
Ni ngumu kuijua kiundani amani ya mtu mwingine ambayo yeye ameiishi tangu utoto ila ww umeanza kujifunza ukubwani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.