Recent content by baba lumba

  1. baba lumba

    JamiiForums Tanzania Radi iliyopiga juzi Dar imeacha hasara ya kutosha

    Uko sahihi Mkuu
  2. baba lumba

    JamiiForums Tanzania Radi iliyopiga juzi Dar imeacha hasara ya kutosha

    Kifaa kinacholinda mfumo wako wa umeme dhidi ya Radi ni aina hizi mbili za circuit breaker 1. Residual Current Circuit Breaker (RCCB) 2. Residual Current Device (RCD) Radi (lightning) inapopiga circuit breaker hizi hu trip (huzima mfumo wote wa umeme), hivi ndio inavyolinda sakiti yako. Note...
  3. baba lumba

    JamiiForums Tanzania Radi iliyopiga juzi Dar imeacha hasara ya kutosha

    Mkuu Rudi shule, hujajua kazi ya earthing system bado, kama hujui kitu bora unyamaze kuliko kutoa elimu ya uongo.
  4. baba lumba

    JamiiForums Tanzania Radi iliyopiga juzi Dar imeacha hasara ya kutosha

    Nimesikitika sana baada ya kusoma comments za baadhi ya wadau wakisema Eti earth road inaokoa vifaa vya umeme visipigwe na Radi 😂, huu ni uongo wa Hali ya juu, kinachoweza kulindaa vifaa vyako dhiki ya Radi (lightning) ni Residual Current Circuit Breaker (RCCB) au Residual Current Device (RCD)...
  5. baba lumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Mshukuru sana Mungu wako, Mungu hukupa mitihani ili akuonyeshe jambo lililojificha, sasa ushajua tyr unaishi na mtu ambae hakupendi kwa dhati, usimfukuze wala usifue nguo zake, kuwa mvumilivu utapata kuona na mengine mengi ambayo hukuwa unayajua, ukiamka asbh fanya mzaoezi kidogo walau dkk 20...
  6. baba lumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Kumbe tupo wengi, hii kitu ya kukaa ndani imeniathiri sana, nikitoka job nyumbani sijui huu ni ugonjwa au kitu gani!
  7. baba lumba

    JamiiForums Tanzania Fahamu virefu vya baadhi ya maneno yaliyofupishwa

    LUKU - Lipia Umeme Kadri Utumiavyo
  8. baba lumba

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu kuritadi maana yake ni nini? Je, toba hufanywa mbele ya Shehe kama wafanyavyo Wagalatia kwa mchungaji?

    Toba inafanywa wakati wowote, mtu akishajutia kuhusu ovu alilofanya na akaazimia hatorudia kwa msaada wa Allaah hiyo ni toba tosha, ama hayo ya usiku tu si kweli
  9. baba lumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo njiani naenda kutambulishwa ukweni

    Mkuu naomba uni Dm
  10. baba lumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo njiani naenda kutambulishwa ukweni

    Miss A si anaishi buzza kama namjua vile
  11. baba lumba

    JamiiForums Tanzania Kuna Siku Itafika Kazi Zitakua Nyingi Hutajua Uchague Ipi

    Yaani tunakubali Mungu ndio katuumba, ila kuomba msaada tuende kwa waganga, unazingua!
  12. baba lumba

    JamiiForums Tanzania Kuna Siku Itafika Kazi Zitakua Nyingi Hutajua Uchague Ipi

    Mwishoni umezingua kwa waganga kufanya nn sasa!??
  13. baba lumba

    JamiiForums Tanzania Dream League Soccer Special Thread

    Unaongeza vipi muda maana dkk ni chache sana Wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. baba lumba

    JamiiForums Tanzania Kiakili una uwezo kiasi gani? Ngoja tuone

    Kitoga ni ugonjwa gani mkuu
Back
Top Bottom