Recent content by baba lucia

  1. baba lucia

    Lowassa una tatizo

    Wana utani na Watanzania, kwa kujaribu sumu kwa ilamba.
  2. baba lucia

    UKAWA hamkujipanga kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    Kumbe hujui unachangia hoja gani, na wagombea wenu pia huwajui, kingwendu yupo CUF pwani huko. Mbona povu LA mdomo litawatoka kutetea visivyowezekana.
  3. baba lucia

    Waandishi wengine mnajidhalilisha

    Wewe ndio unamtindio wa ubongo ndio maana hutaki sikia habari tofauti na uliyozoea, utazuiaje MTU kutoa maoni yake juu ya suala lililotikisa nchi? Asitoe wala kulijadili Kisa emalau na kundi lake watachukia, tumefika huko kweli? Mbona wengi wanayasema ya auna hii, na hayajawa habari Kama la...
  4. baba lucia

    UKAWA hamkujipanga kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    Tusitete ujinga kwa Mahaba na mihemko yetu juu ya lowasa, suala la muda linajulikana kipindi kirefu mwisho SAA 12, basi japo 17:15jioni angeanza kuinadi ilani yetu. Tunaposema ni hotuba sio ilani tunamaanisha pale tulikua tukizindua nini? Mi nadhani tusiwape watu nafasi wakatutukana zaidi kwa...
  5. baba lucia

    UKAWA hamkujipanga kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    Wakati mwingine unaweza dhani ni masiala, ila ukweli watanzania wapenda mabadiliko tumeambiwa tukasome ilani hiyo ya mabadiliko ktk mtandao, hivi ni kweli au sikuelewa alichomaanisha Lowasa?. Hakukuwa na haja ya promo Kubwa Kile watu tuache shuhuli zetu kwenda kusikiliza ilani nzuri ya chama...
  6. baba lucia

    Maswali matano (5) ya msingi uvamizi wa Ndg. Humphrey Polepole

    Kwa sasa ni kawaida kwa wapinzani kumchukia mtu akosoae upinzani. Sio siasa hizo mfanyazo ni UPUMBAVU ukiopindukia. Mtu avunjae nyumba anaitwaje? Mi nadhani ni vema mtu ukaacha kutuletea hoja za kitoto hapa ili hali kipindu pindu kinamaliza wa TZ wenzetu.
  7. baba lucia

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha akamatwa na Polisi

    Hayo hayasaidii, hapa tujadili kwa nini majimboni kwetu kuna magomvi. Tushapoteza majimbo 5 alafu mnaleta hoja nyepesi hapa, nao kina Masha ndio watuleteao hizi fujo na kutuvuruga ma ccm yanadhinda tu.
  8. baba lucia

    ITV jamani, mmenunuliwa?

    ------!?
  9. baba lucia

    Leo ndo nimeamini cLouds tv ni ya chama

    Duh! Hii ya Tanzania ni Kali Sana, hapa inaonesha upofu wa fikra kwa mliowengi ndani ya Jf. Iweje kila lifanywalo kwenu baya? TBC ni ccm sababu hawajatangaza kile utakacho wewe kusikia, Clouds ishanunuliwa na unashawishi wapofu wenzio wasusie ili hali wewe unatazama na ndio maana malalamiko...
  10. baba lucia

    Msimamo wa Lipumba uheshimiwe; Dr. Benson Bana ni fedheha kwa PhD Holders...

    Jamani tuwe tunaheshimu Uhuru wa kutoa Mawazo kwa RAIA wenzetu, ni vema kumkosoa kwa lugha nzuri au kufafanua kwa lugha nyepesi Kile asemacho mwenzio kuliko utumiaji huu wa lugha pamoja na mihemko, na Mahaba kwa itikadi yako bila kujali kua itikadi yako na ya mwingine ni tofauti.
  11. baba lucia

    Ushauri wa bure kwa Masoud Kipanya

    Mi nadhani huenda wewe huenda hujamuelewa vizuri Masoud, au unaongozwa na mahaba niue. ungekua unamsapoti lowasa nadhani ungefurahia kazi ya masoud kipanya, maana kampoteza kabisa Magufuri ktk katuni zake na kwa kukusaidia watu wengi usoma katuni za kipanya hence kumchora sana lowasa means...
Back
Top Bottom