Ushauri wa bure kwa Masoud Kipanya

Ushauri wa bure kwa Masoud Kipanya

Mi nadhani huenda wewe huenda hujamuelewa vizuri Masoud, au unaongozwa na mahaba niue. ungekua unamsapoti lowasa nadhani ungefurahia kazi ya masoud kipanya, maana kampoteza kabisa Magufuri ktk katuni zake na kwa kukusaidia watu wengi usoma katuni za kipanya hence kumchora sana lowasa means publicity yake itakua kubwa kuliko ya kivuli hewa cha magufuri. THINK CRITICALLY!
 
Back
Top Bottom