Kwa mijadala ya Jana bungeni, hakika Bunge limekata mizizi yake ya kuwa chombo cha kuwawakilisha wananchi Kwa mujibu wa katiba ya nchi Bali rasmi sasa ni CHOMBO cha kulinda na kuwakilisha taasisi ya Urais.
Ajenda kuu iliyopo sasa uwe unataka ama hutaki, iwe unaizungumzia moja Kwa moja ama...
Gwajima anahoja, na sio hoja yake peke yake ni ya watanzania wengi. Tatizo la CCM inataka ikiwaambia watanzania nyuma geuka, kulia geuka waitikie Tu hata kama kuna mashimo.
Ndugu mleta mada hivi Kati ya kanisa na serikali Nani alianza kumuhitaji mwenzake ili kufanya KAZI pamoja mbona unaongea as if Kanisa lilikuwa halijiwezi hivyo liliomba serikali iingilie Kati?? Ukisema hivyo kama unavyosema basi ujue ni taasisi/majengo mengi itabidi zirudi Kwa Kanisa.
Hongera Kwa taasisi ya MOI kuanzisha ukurasa wenu RASMI hapa ni matumaini yangu kwamba mtapokea maoni yetu na kuyafanyia KAZI , na kimsingi ilitakiwa taasisi zote za umma na mashirika yake kuwa na ukurasa hapa, kwani hapa ndio unapata maoni ya moja Kwa moja toka Kwa wadau.
Kwani umemuuliza wewe binafsi akakwambia nini kimejiri?? Ushauri wangu, mfuate dada yako, muulize na mwambia asikufiche hata chembe juu ya nini kimejiri baada ya kupata ABC zake ndio uje hapa tushauri kama utashindwa peke yako. Binafsi naogopa kushauri bila kujua shiida nini maana ndoa zinamengi...
Ninachokiona hapa CCM walichukulia Ruvuma kama ngome Yao ya kudumu, sasa hawaamini kuona wananchi wanawageuka na zaidi ndio nyumbani Kwa Emmanuel Nchimbi, KATIBU mkuu wa CCM na mgombea mwenza wa Urais 2025, hivyo wanapata kiwewe na kufanya kamata ya CHADEMA.
Ikumbukwe huko ndio TL alikokamatwa...
Hivi kumbe CHADEMA wamesema hawashiriki uchaguzi au mi ndio sielewi?? Bila kutumia jicho la CCM tujaribu kuelewa watanzania wengine wanasema nini, hawa wanasema bila mabadiliko ya sheria na taratibu za uchaguzi basi hakuna uchaguzi yaani ni Sawa na kazi bure, na wametoa ufafanuzi kuwa...
Sorry mkuu taarifa za awali nilizonaso naishia hilo Jina la MATEI, niliambiwa ana kaka yake Anaitwa Priscas Matei dada zake ni Monica MATEI, Pendo na Geno MATEI!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.