Recent content by baba kayla

  1. baba kayla

    JamiiForums Tanzania Wakati a.k.a mimi Album ya Albert Mangwair ikichukua album bora, Ilishindana na Album zipi?

    Cowobama / mangwair hakuwa king of freestyle maana chid benzino alikuwa anamzidi bado hata nikkimbishi yuko mbali sanaaaaa
  2. baba kayla

    JamiiForums Tanzania No Agenda: Maisha ya Ngwair alijiona New York akiwa Bongoland

    King of freestyle? Mimi namkumbali mangwear na huwa naskia alikuwa king of freestyle mpaka leo hajawahi tokea ila nimejaribu kutafta hizo freestyle cjaona kama alikuwa anamzidi nikki mbishi kwangu naona nikkimbishi ndio king of freestyle Tz
  3. baba kayla

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Msaada tafadhari: hivi unaruhusiwa kuchagua shule ngapi maana kwenye sytem naona inaruhusu shule moja
  4. baba kayla

    JamiiForums Tanzania New Generation: Je, ni nani Mfalme wa Kizazi kipya cha Rap/Hip Hop Bongo?

    Nikkimishi ndiye mfalme wa new hiphop generation
  5. baba kayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kujifunza Python programming

    Mwenye vitabu vya kuanzia kujfunza python anaweza upload ili tujfunze
  6. baba kayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Freestyle za nikkimbishi na godzilla mwenye nazo atupie (kipindi kile wanashndanishwa clouds fm akiwepo fetty)
  7. baba kayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Old Bongo Flava

    Hizi nyimbo naona hazpatikan
  8. baba kayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kioo naomba nyimbo ya soggy doggy hanter inaitwa i love u too
  9. baba kayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ckumbuk vzur ila anaimba hv " sema unachotaka babe nitakupa babeeeey babeeey"
  10. baba kayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Old Bongo Flava

    Soggy dogg - i love you Nmeutafta huu wmbo bla mafanikio
  11. baba kayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Soggy doggy - i love you Mwenye huu wimbo tafadhari
  12. baba kayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    app ya kutengeneza passport size iwe soft copy
  13. baba kayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Shukrani sana mkuu
  14. baba kayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kioo vp hz nyimbo hazipo ????
  15. baba kayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JF Hip-hop frestyle battle

    1.Freestyle za nikkimbishi na godzilla wakiwa clouds 2008 mwenye nazo azitupie hapa nmeztafta bla mafanikio 2.nay wa mitego - mitego mp3 mwenye huu wmbo tafadhari
Back
Top Bottom