Recent content by Baba joniii

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye AKILI ni yupi!!!

    kila binadamu ni mtu mwenye akili,lakini tofauti huja kama anaakili timamu,au akili isiyotimamu,akili ya kuchanganua mambo au la, akili ya uelewa au ugumu wa kuelewa,.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mambo 6 wasiyoyapenda wanaume kutoka kwa wenza wao

    wanaumme hawapendi kuulizwa ulikuwa wapi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Hili bunge la katiba limejaa wahuni na washenzi sijawahi kuona toka tupate uhuru

    mtikila angehamia cdm, angefanikiwa kuwa raisi
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kagame adaiwa kupandikiza makachero nchini kuipeleleza Serikali… mbunge atajwa kuhusika!

    ni kweli kagame ni balaq, akiamua anamchakaza jk within a minute kwa sababu ameshapenyeza majasusi wake katika taasisi nyeti hapa nchini, hakika wingi wa jwtz usiwape kibuli ya kuwa wanaweza kupambana na kagame,cha muhimu jk afanye negotiation mapema kabla kagame hajamchakaza
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Zitto yapigwa kalenda hadi Aprili mosi

    zito, kweli ni zito, ameisumbua sana cdm
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    -mara mwizi wa wake za watu -msaliti wa imani -anaunga mkono matumizi ya pombe haramu,
  7. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kugawa Tablets sekondari zote nchini. Utekelezaji umeanza!

    serikali yetu inaongozwa na mihemko ya ajabu, watafute kwanza walimu wa kutosha, maabara,maktaba na madawati, tablets bongo, mbona watazipasua kwa wiki moja
  8. B

    JamiiForums Tanzania HATARI: Hali ya Usalama Dar si nzuri, Kundi la 'Watoto wa Mbwamwitu' lawa tishio Ilala

    Kundi hilo linaratibiwa na chadema
  9. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    kama ni kweli, cdm wajiandae kisaikolojia kukabili matokeo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mlipuko tena Arusha, jeshi la Polisi watuhumiwa

    Serikali yetu inaendeshwa kwa kafara ya damu za raia, hapo jk anataka damu imwagike kwa wingi kabla hajamaliza mda wake,.
  11. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

    Poleni sana wapendwa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

    serikali imeoza, kwani wanajua kila kitu kuhusu mzigo huo, ila wanazuga wananchi
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

    si china si serikali,si jwtz, si tiss, wote wizi mtupu, kwani serikali ilipashwa habari mapema kuhusu huo mzigo, hapo danganya toto tu
Back
Top Bottom