Hii issue wala sidhani kama inawezakuwa na ukweli wowote ndani yake.
Bwana Ali Mwambapa Afisa Uhamiaji hapo Makao makuu mwaka 2015 February as katika mambo yangu huwa sijui na sielewi kitu kinachoitwa Rushwa, na huwa niko tofauti na mambo hizo,
Mwanzoni nilikuwa nawasiliana naye akiniambia kila...
Nadhani waacheni tuu wachangie kwani wao Umoja ni nguzo yao.
Sambamba na hilo wao ni wasomi sana na waelewa sana wa sera na siasa ya ujamaa ambayo inasisitiza kuhusu UMOJA.
Mapinduzi ya pili ndani ya Tanzania yataletwa na waalimu mwaka watakapoweza kuwa wawazi.
Tujaribu kufikiria kwa nini kada...
....Nauli ya Bombardier Dar-Kigoma- Dar ni shilingi 610,000...
Nauli ya Fastjet Dar-Johannesburg-Dar 680,000....halafu mnibishie kuwa Kigoma sio Nchi.....
kwanza Jua huwa linazama saa 2 usiku...
*watupe nchi yetu bhana*
CC: All people of Kigoma,
Na tuanze kupinga udhalimu na udhalilishaji...
Siasa za Wakigoma wanazijua watu wa Kigoma.
Mnyamahanga hutaambua chochote zaidi ya kukutana na mjukuu aitwaye Majuto. For your reference consult Mr. Makamba at his time of being the RC over there etc.
Mambo ya Machali km unajitambua utakuwa unajua kuwa alihamia ACT mapema sana.
Mkosamali kama...
PRESS RELEASE
CLARIFICATION OF VAT ON INTERNATIONAL TRANSPORT AND ANCILLARY SERVICES RENDERED ON TRANSIT GOODS THROUGH THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
All Stakeholders and Public at large are hereby informed that since the inception of VAT Act 2014 Cap. 148 in July, 2015, TRA have been...
For sure Baada ya kusoma ujumbe huu na kutafakari kwa kina nimeamua kuingia mitini na kutafuta means to withdraw the case before I face the pinch of sweatness in spite of Sweetness.
Otherwise am scared of having the worse moments for the thing costing not more than 80,000TZS.
Next week I shall...
Nilikuwa siamini kama kweli hii yaweza kuwa kweli,
Jana nyakati nakuja kazini nilikamatwa na trafic Police kwa kosa la kuendesha gari nikiwa ndani ya Nchi ya Zanzibar kwa kutumia Leseni ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania bila kuwa na Foreigner Driving License Permit.
Let me go to the Court by...
Kwa vile nchi hii haiongozwi kwa style ya ramli,
Labda ungetusaidia tusiojua mandate ya Pengo kutoa RB ipo wapi kwenye katiba ya Tanzania au ni kifungu gani cha sheria kinamruhusu yeye kumwita mtu kwenye mahakama yake ya Pangoni, nyumbani kanisani au kokote nje ya Mahakama za Serikali ya...
Ni uzembe wa kufikiri kukiri kuwa Polisi woote hakuna ambaye alipata Division One kwenye mtihani wa Form Four or Six.
Tunao wengi askari wenye character hizo.............
Pia ni upofu na ulemavu kweli wa akili kufikiri na kuamini kuwa polisi wanayafanya yale wayatakayo wao....No thank you...
COMPULSORY READING:
Address by Mwalimu Julius Nyerere, Former President of Tanzania and Chairman of the South Centre, at the Quinquennial General Conference of the Association of Commonwealth Universities. Ottawa, Canada: 17th August, 1998.
Mr. Chairman; Your Excellencies: Ladies and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.