Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,257
- 3,904
TUKIWA TUMEBAKIZA miaka minne kufanya uchaguzi mkuu wa 2020 unadhani nini kitatokea ndani ya UKAWA........
Ikumbukwe 2015 baada ya uchaguzi kumalizika 2020 ,
NCCR ilipata kiti 1 cha ubunge kutoka wabunge 5 hali iliyosababisha chama
kukosa ruzuku ......
Mtatiro ataweza tena kugombea jimbo la Segerea au atarudi Ubungo au Musoma chini ya UKAWA.
CUF ambayo kabla ya UKAWA ilikuwa inapokea ruzuku ya milioni 300 lakini imeshuka sasa hadi milioni 120 kutokana kutikusimamisha mgombea uraisi jee safali hii itakuwaje, watasusia tena uchaguzi..........
Majimbo ya uchaguzi chini ya ukawa 2020 wataweza kukubaliana kusimamisha mgombea mmoja kama 2015 majimbo karibia 180 walishidwa kuelewana jee 2020 wataweza kuelewana,.....
Vipi kuhusu CHADEMA , CUF, NCCR, NLD kisiasa wataweza kupanda kisiasa au ACT ndio kitakuja kuwa chama kikuu cha upinzani.
Je, mgombea uraisi 2020 atatokea chama kipi kati ya CHADEMA , CUF, NCCR, NLD kupitia UKAWA, .......
Kuna mengi ya kusema lakini kwa leo
Hebu tuishie hapa kidogo.