Recent content by baba gabi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Wataalamu wa Tiba Asili.Dawa Gani Inafaa Kutumika Kuzuia Chuma Ulete kwenye Mazao ya Shambani?

    Dawa ipo na haitaji pesa yoyote, dawa ni kutosifia shamba la mpunga wa mwenzako, Kwa mfano mkiwa njiani mkiona shamba limenawili, pita na zako kitendo Cha kulifisia tu na mpunga wako unahama. Samahani sana Kwa wachawi.
  2. B

    JamiiForums Tanzania msongola hospital

    Kwahiyo wanapima bila kutoa ushauri na nasaa?
  3. B

    JamiiForums Tanzania msongola hospital

    Kwanini hospital ya msongola ilala Ina wapima VVU wamama wenye watoto wenye mwaka 1 bila ridhaa yao?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Yanga mtakataa kucheza ikitokea mnakutana na Simba kwenye CRDB Federation Cup?

    Kwani Simba alikimbia kwenye mashindano ya shirikisho crdb?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa namna ya kuangalia deni langu la Parking Fees

    Hii huwa inaleta madeni ya zamani
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

    Kwani Ile kesi ya viongozi wa jamii forum kufikishwa mahakani miaka ile iliishia wapi?
  7. B

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mbande - Mvuti ni mbovu sana

    Habari wanajamiiForums, kero ya barabara ya Mbande hadi Mvuti, tunaomba wanaohusika wajitathimini. Mkandalasi hayupo site na barabara ni mbovu, hasa eneo la soko la Mbande.
  8. B

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni zinazotoa mikopo mitandaoni

    Mimi wamenituma ripoti kwenda CBA kwahiyo nimezuiliwa kukopa bank Hadi niwalipe na sijui ofisi za USTAWI zilipo, naombeni msaada
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tunaomba uingilie kati suala la mikopo ya mitandaoni labda serikali itachukua hatua

    Naomba kujua zilipo ofisi za swift fund au zamani wakijiita m pesa financial, kama utazipata nijulishe
  10. B

    JamiiForums Tanzania KERO Mwendokasi ni Changamoto zaidi ya inavyozungumzwa

    Bora mwendokasi Ina faida ukipanda chap umefika, njoo kituo Cha stesheni upande dirishani mabasi ya mbagala
  11. B

    JamiiForums Tanzania Najua kwa sasa mmejifungia Kikaoni Hotelini Posta ili Kumfuta Kazi Kocha Mkuu, ila hata nyie hatuwataki tena SSC

    Yaani kumfunga mechi 1 tu ndio mnamfukuza, mbona Manchester united ilipigwa 6 - 1 na man city na walimvumilia sir Alex
  12. B

    JamiiForums Tanzania Punguza gharama za kutumia mafuta kwenye gari lako. Sasa unaweza kutembea kilomita 180 kwa gharama ya Tsh.15,000 tu

    0686545426 na 0717944778. Nahitaji hiyo huduma
Back
Top Bottom