Recent content by Baba Farheen

  1. Baba Farheen

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mimi kuna wimbo nautafuta una maneno haya hapa Si ulisema.kwamba unataka kuniambia,// Nambieee nambie mpenzi// Naona.muda unazidi kwenda baby// Na.masaa yanakatika lady// Sijajua kitu unachotaka kunambia// Nambieee nambie mpenzi... N Nwasilisha
  2. Baba Farheen

    JamiiForums Tanzania Unatumia Website gani kudownload music?

    Muzmo.ru hapa Ngoma za mbele zote unazofaham utazikuta Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Baba Farheen

    JamiiForums Tanzania Unatumia Website gani kudownload music?

    uTorrent Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Baba Farheen

    JamiiForums Tanzania John wick ni movie zenye action za kibabe sana

    Hawakua polisi wale ni watu wa mazingira na usafi
  5. Baba Farheen

    JamiiForums Tanzania Watu 10 wenye historia na mchango mkubwa duniani

    Nicolas Tesla mbona hayupo hapo
  6. Baba Farheen

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    natafuta wimbo unaimbwa... joto harufu mbaya imetapakaa mwilini... nipo katikati ya mlima naelekea safarini
  7. Baba Farheen

    JamiiForums Tanzania Usilolijua: Malkia Elizabeth ni mjukuu wa Mtume Muhamad(s.a.w)

    Umenena jambo boss
  8. Baba Farheen

    JamiiForums Tanzania Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

    Sasa laki nne tuite nini...mwanza wa pesa ni tsh1 na kusonga mambele mm hadi 1100 nimetoa jana tu... Nilikwama mwana akanitumia na ya kutolea ndo ikatoka hiyo.... Halafu sina habari wala nn
Back
Top Bottom