Recent content by Baba Ds

  1. B

    JamiiForums Tanzania Bikra ajitokeze ndoa nyeupee!

    Unamaana gani mkuu..wachafu wa kufua nguo,kudeki,kuosha vyombo eteeee ama uchafu gani unauzungumzia?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Afisa wa Wanyama Pori TANAPA auawa kwa kuchinjwa kinyama

    Polen wafiwa,RIP mkuu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu au uhasibu msaidizi

    Kwanza jinalake tu linamajisifu,alafu inaonuesha hajawah pata msoto mtaan nhoja upihwepigwe na jua ukizunhuka zunguka na bahasha zako ndo itatia akili ya ajira.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwanini mnakuwa hivi?

    Kama vitu ni vyakwake hakuwa na haja ya kuchanganyikiwa,alitakiwa akatoe taarifa polisi then apewe loss report kisha aanze mchakato wakutengeneza documents zingine,hizo kadi za pikipiki na gari hazina shida TRA wanaweza ku reprint muhim uwe na genuine reasons.Wasiwasi wangu inawezekana huyo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania "Natayafunga mafisadi na Majizi ili watanzania muish kwa raha"

    Jk leo amekuwa muwazi sana pale aliposema mchagueni JP.magifuli ili atakapo staff apate usingizi,anahofia ukawa wakichukua nchi lazima investment zake zote zihakikiwe so lazima apoteze usingizi.Chagua Lowasa chagua chadema chagua ukawa achana na pombe:beer::beer::beer::beer:
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Lowasa 100 kwa 100.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Katika mazungumzo yake na waandish wa habari muda mfupi uliopita Dr.Slaa alitamka kuwa mshenga wa Lowasa (Ngwajima) alimconvice na mambo mengi ikiwemo na hili la rushwa....eti Lowasa yuko vizuri amejipanga,anahela za kutosha na ameshawagawia baadhi ya maaskofu.My take :hiv kwa akili za kawaoda...
  8. B

    JamiiForums Tanzania David Kafulila live ndani ya HotMix - EATV, Amtaja Kikwete sakata la Richmond

    Mkuu huku kwetu wamekata umeme...ila dawa yao tunayo itakapofika october 25.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Jamani tuache mambo ya ajabu kiukweki CHADEMA/UKAWA ndio mpango mzima ...yaan unguja ni zaidi ya jana na juzi.CCM wamepoteana kabisa.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hodi humu ndani jamani

    Asanteni sanaaaaaa.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Episode I: Agano-Lowassa Lazima awe Rais, Ndio mkakati tangu 95

    Episode za ukweli....waiting for episode 6+
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hodi humu ndani jamani

    Mimi ni mgeni jamani nahitaji kuwa humu mjengoni kwa ruhusa yenu. Naomba mnipokee.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mpasuko CCM, Kingunge, Nchimbi na Mwandosya kutimka

    Naipenda CHADEMA napenda ukawa...naichukia CCM.
Back
Top Bottom