Habari wakuu....Ninaomba kujuzwa kidogo juu ya suala la makato ya mshahara wa mfanyakazi. Je,inawezekana katika mazingira yoyote yale kukata mshahara wote wa mfanyakazi?
Asante
Amani na utulivu ni upi hasa wakati watu kibao wameuwa katika mazingira ya hovyo mpaka leo hakuna hata mtu wa kushukiwa,wapeleke wendawazimu wait huko.
Suluhisho ni kujenga misikiti itakayo endana na idadi ya waumini,kama ni sherehe basi ihamishiwiwe kwenye misikiti mikubwa au kwenye viwanja vya michezo na sio barabarani.
Naunga na wewe kwa 100%, siku moja haya mambo ya kuweka video kwenye flash ikafika sehemu ya X, ilibidi kula mtu ainamishe kichwa chini ya seat. Sijui hawa makondakta na madereva wao huwa hawana aibu?
Hii si hadithi wakuu,ni habari ya kweli kabisa.Hawa nyoka walikuwepo wengi sana katika misitu minene ya mwambao wa ziwa Rukwa kati ya miaka 80 mpaka mwanzoni miaka ya 90.Lakini kutokana na uhitaji wake na wataalamu wa sayansi ya miti shamba waliwindwa wakaisha.Waambie hao wachina wanaotafuta...
Mkuu Mbuzimtu,
Mpaka sasa CCM wanaomba miezi iende taratibu ili hiyo October isifike mapema.Hizo mbwembwe za Nape kuwa CDM inakufa kwa kasi ni siasa za maji taka tu.Mfano tumeuona huko Sumbawanga kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa ambako kwa matarajio ya wengi tulidhani kuwa bado kuna uelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.