Wapo watu miaka 40 akizungumza unabaki unamshangaa unajiuliza huyu mtu uwezo wake wa kujenga hoja ukoje...na pia wapo wazee anaweza jenga hoja ukasimama kumpigia makofi...wacha tuwaachie wajumbe
Hizi simu ufanisi wake wa kazi utakua wa mashaka mashaka kama ambavo mkuu wa mkoa alivotoa taarifa kwa mashaka mashaka...kashindwa taja aina ya simu na tv pia
Huyu CDF yuko sahihi na ni mfano wa kuigwa coz mali ni zake kazipambania huku akipewa faraja na familia yake.Nadhani wakati anajitafuta ndugu walijitenga nae ivo wacha aliokua nao warithi mali zake....KILA MTU AFE NA CHAKE
Kwakweli hii kitu iletwe na huku kwetu wawe wanalipa kodi maana wanaingiza fedha nyingi sana.Wachungaji wetu wanaishi maisha ya anasa wanaibia waumini afu wanakuja kuturusha roho kwenye mitandao ya kijamii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.