Recent content by BaabKubwa Magazine

  1. BaabKubwa Magazine

    Nafasi za Kazi: Website moderator (Nafasi 1)

    Baabkubwa Enterteinment, wazalishaji wa Jarida namba moja la burudani Tanzania, Baabkubwa Magazine. Inatazamia kuboresha news contents kwenye social medias na website yetu kwa kuajiri waandishi vijana wenye ubunifu na hamasa ya kufanya kazi kwa ajili ya kuboresha miradi ya habari inayoendeshwa...
  2. BaabKubwa Magazine

    Nafasi za Kazi: Waandishi wa habari (Nafasi 5)

    Baabkubwa Enterteinment, wazalishaji wa Jarida namba moja la burudani Tanzania, Baabkubwa Magazine. Inatazamia kuboresha news contents kwa kuajiri waandishi vijana wenye ubunifu na hamasa ya kufanya kazi kwa ajili ya kuboresha miradi ya habari inayoendeshwa na kampuni yetu. Tunatafuta vijana...
  3. BaabKubwa Magazine

    Dkt. Gharib Bilal ndani ya tamasha la matumaini

    Tamasha la Matumaini lililoandaliwa na Global Publisher Limited kwa mwaka wa tatu mfululizo limefanyika siku ya jana ndani Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kuwavutia watu wengi kutokana na burudani mbalimbali zilizotolewa uwanjani hapo. Hakika Watanzania wanapenda nchi yao na ni...
  4. BaabKubwa Magazine

    Zitto amtungia Linex wimbo

    Katika kuonesha ukaribu na vijana na utayari wa kutoa msaada wa hali na mali, Mbunge wa Kigoma Kasikazini Mh Zitto Zuber Kabwe amemtungia mashairi msanii wa muziki wa Bongo fleva hapa Tzee Linex Sunday Mjeda, ambaye kwa sasa kitaa anahit na single ya ‘Honga honga’. Ngoma aliyotungiwa na Mh...
  5. BaabKubwa Magazine

    Ushauri wa bure kwa wanaume

    Msanii wa muziki wa Bongo Flava Meniah Atick aka Meninah hivi karibuni ameachia Track yake mpya ya ‘Pipi Ya Kijiti' ni track inayozungumzia mapenzi na kuwapa somo wanaume, Akiongea kwenye cha E News' Meninah alifuguka hivi . "Kwenye hii wimbo wangu mpya nimezungumzia wanaume waweze...
  6. BaabKubwa Magazine

    Kama unatafuta mke Tayana huyu hapa

    Ukianza kutaja female presenters hapa Bongo huwezi ukakosa kutaja jina la Tayana Tibenda, ambaye aliwahi kupiga mzigo Clouds Media Group, Times FM before hajasepa zake kuendesha her business katika mambo ya burudani. Akiwa kama CEO wa ‘No Limits Entertainment' kampuni anayoshughulika na...
  7. BaabKubwa Magazine

    Ray C: Nawachukia wanaume

    Baada ya kusimama tena kwenye game Rehema Chalamila aka Ray C ambaye aliwahi kutamba na ngoma kibao kama ‘Milele', ‘Nimezama', ‘Uko Wapi' and as soon as possible she will be back again kwenye Bongo Flava. Ray C alikuwa muadhirika wa madaya ya kulevya na kumpelekea kupotea...
Back
Top Bottom