Recent content by ba nso

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ninapata dalili hizi, je ni tatizo gani hili?

    Dawa hizi: 1. hydroxychloroquine 2. Aspirin 3. Azithromycin 4. Vitamin C 5. Loratadine na 6. colchiheal. Baadhi ya watu ziliwasaidia sana
  2. B

    JamiiForums Tanzania Utakapojenga nyumba yako usisahau haya...

    Imeandikwa vema sana. Asante sana.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

    Ulisoma Benjamin Mkapa? Kisha ukasoma TIA mbeya? Pole sana mkuu. Labda weka AC home.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Afande Sele atashtakiwa kwa kosa gani baada ya kumtukana Mungu?

    afande ni msanii kama Remi Ongala msikize adi mwisho hapa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Afande Sele atashtakiwa kwa kosa gani baada ya kumtukana Mungu?

    mbona Remi Ongala alishasema kuwa habari za mungu sio za kuamini?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Hospitali gani Jijini Dar wanapima Covid-19?

    Ndio, yaani hio ndiyo kama package nzima. Mfamasia atakuandikia jinsi ya kutumia. Katika hizo zingine kutwa Mara 1 zingine Mara 2 etc
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Hospitali gani Jijini Dar wanapima Covid-19?

    Nadhani, lakini pia ninaamini dawa hizi kwa pamoja zinadhoofisha kirusi kiasi cha kukosa nguvu ya kudhuru mapafu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Hospitali gani Jijini Dar wanapima Covid-19?

    Pole mkuu, Mimi nilipatwa na dalili kama hizo. Doc akaniambia ni dalili za covid. Dawa alizonipatia na zilinisaidia tuliambiwa tupate dozi 2 na mke wangu ni: 1. Hidrokloroquin,2. aspirin, 3. athromizing, 4. flagil,5. vitamic c, na 6. dexamethason. Namba 1 & 2 ndio mhimiri mkuu. Kama hutojali...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Serious discussion: Kuna madhara yapi yatatokea endapo ndugu wa damu watazaa pamoja?

    Watoto watazaliwa na udhaifu na ulemavu mbalimbali. Pia kijamii kutakua na madhara sana ndugu kuwa wenza, patakua na wivu baina yao nk
  10. B

    JamiiForums Tanzania TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

    Ninaweza kuingia katika hio VPN msaada tafadhali.
  11. B

    JamiiForums Tanzania TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

    Habari mkuu, hebu nielekeze hio VPN inafungua WhatsApp? Ninawezaje kuingia katika VPN?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Peugeot

    Ulipata spare za 504 Peugeot?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu asome kozi gani kwa matokeo haya

    Check www.gec-hombolo.ac.tz
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu asome kozi gani kwa matokeo haya

    Check www.gec-hombolo.ac.tz
Back
Top Bottom