Naomba msaada wenu asome kozi gani kwa matokeo haya

The_bushman

Senior Member
Jun 29, 2018
114
105
Kuna mdogo wangu anamakisi hizi hapa
CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'D' B/MATH - F. Division 4-31.

Bado anapenda elimu ,naomba ushauri wenu wa kitu gani cha kusoma au hata foundation kozi itakayomsaidia kupata kozi ya kusoma.

Asante.
 
Akasome Governance education center hombolo Dodoma. Anasoma kwa mwaka 1 kisha anapata sifa kujiunga na elimu ya certificate nta level 4. Usikate tamaa na huyu asirisiti mtihani bila tija.
 
Akasome Governance education center hombolo Dodoma. Anasoma kwa mwaka 1 kisha anapata sifa kujiunga na elimu ya certificate nta level 4. Usikate tamaa na huyu asirisiti mtihani bila tija.
Asante sana ,ngoja nifatilie hili
 
Ufaulu wake unaonekana si mtu wa kujituma....

ukimbiaji wake science subjects japo huenda hakusoma hayo kutokana na sababu mbalimbali.

binafsi sishauri asome hizi kozi za white collar jobs .

mpeleke mahala apate ujuzi wake mfano veta, kulingana na anachokipenda utamsaidia zaidi kuliko mashule ya darasani again... usije mlaumu Tu baadae.
 
Back
Top Bottom