A sex doll (also love doll or blow up doll ) is a
type of sex toy in the size and shape of a sexual
partner for aid in masturbation . The sex doll
may consist of an entire body with face, or just
a pelvic part, with the accessories ( vagina , anus,
mouth , penis) for sexual stimulation. The...
mbona hiyo cha mtoto? mimi huwa la aziz akiumwa tu nami naumwa. wakati mwingine akijisikia moodless kazini nami kwangu hivyo hivyo. siku hizi nikiwa nae nawaza kitu kumbe nae anawaza hicho hicho. Huwa nagundua hilo wakati naanza kulielezea jambo tunajikuta wote tunaanza maneno hayo hayo.
Nasikitika sana tena sana kwa taarifa ya Chuo cha Tiba IMTU kufungiwa na serikali jana eti kwa kukosa sifa za kimaabara na utabibu.
Jamani haya yanaonekana mara tu baada ya kashfa ya kushindwa kuhifadhi au kuteketeza masalio ya miili ya kujifunzia wanafunzi?
Kwa mantiki hii zipo idara na...
maelezo yako yote yanaonesha ubinafsi wako tu. mbona unajiangalia wewe tu na ha kudiriki kuua kwa maslahi yako. Je siku ukihitaji mtoto ukinyimwa? sioni sababu ya msingi.
umekufuru sana na kumdhalilisha sana mnyama mwema, mwema, mtiifu kwa bwana wake na mlinzi hodari kwa kumfananisha na na siasa au jengo la itikadi. Huyu mnyama kapewa hadhi kwa kuumbwa na Mungu na kupewa uhai. wewe utaishia kujenga majengo ya sura tofauti tu na sio uhai. Koma kabisa na badili...
Cha ajabu ni nini. Hofu za kiubinadamu. Kama umewakosea watu wako lazima uhofu. Hata m/kiti wa mtaa atakuwa na hofu kwa wananchi wake endapo anaenda sivyo ndivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.