Recent content by Ba Liz

  1. B

    Kinachofanyika kituo cha Afya Bweri cha serikali(musoma mjini) ni uvunjaji wa sera ya Afya kwa watoto,wajawazito na wazee

    Mbona kundi hilo LA msamaha mikoa mingine tunawatibu bure wala hawachangii??hasa watoto below 5 years,wazee wasiojiweza na wajawazito,,
  2. B

    Kinachofanyika kituo cha Afya Bweri cha serikali(musoma mjini) ni uvunjaji wa sera ya Afya kwa watoto,wajawazito na wazee

    Kiufupi ni rushwa na rushwa haina risit Mimi pia nimelishudia hilo,hivo nawaomba wawe makini make wamezidi wakiendelea watakamatika na pccb mkuu
  3. B

    Kinachofanyika kituo cha Afya Bweri cha serikali(musoma mjini) ni uvunjaji wa sera ya Afya kwa watoto,wajawazito na wazee

    Kulingana na Sera ya wizara ya afya juu ya matibabu ya wazee,watoto na wajawazito kutibiwa bure,,lakini katika hiki kituo imekua balaa watoto chini ya miaka mitano hulipia bila hela ahudumiwi au mpaka ukanunue gloves ndo unahudumiwa, Sio hvo tu isitoshe wajawazito kujifungua huambiwa waandae...
  4. B

  5. B

    Clinical Officer natafuta nafasi ya kazi

    hapana mimi sibagui kazi,sema kila ninapoulizia najibiwa hakuna nafasi,
  6. B

    Clinical Officer natafuta nafasi ya kazi

    hapana mimi sibagui kazi,sema kila ninapoulizia najibiwa hakuna nafasi,
  7. B

    Clinical Officer natafuta nafasi ya kazi

    hivyo natafuta kazi katika zahanati,kituo cha afya au hospitali iliyo na nafasi..asanteni kwa ushirikiano wenu.
  8. B

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    asante kaka nimekuelewa,o level physics-C,chemistry-C,biology-C Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    jamani mi nilihitimu diploma ya mafunzo ya clinical officer mwaka Jana nikapata GPA ya 3.7,ninahitaji kuendelea na MD.natamani sana kusoma muhas na a level nilipata division 3 yan physics-f,chemistry-E,na biology E.je,ninaweza kuchaguliwa au ?competition no kubwa
  10. B

    Clinical officer anaweza kusoma shahada ya Physiotherapy?

    Mimi mwny diploma ya Clinical officer naweza soma bachelor ya physiotherapy?naipenda sana naomba msaada wa mawazo?Asante
  11. B

    Bachelor of science in Physiotherapy

    kweli mtu akimaliza diploma ya CO anaweza kusoma degree hii?ni miaka mingapi na vyuo vinavyoitoa vpo vngapi Tz.?msaada
  12. B

    Chuo gani ni kizuri kwa kusoma MD?

    Mimi ni mwanachuo nasoma CO.naomba mnisaidie ni chuo kipi cha faa sana kwa udaktari?na kwa sasa vigezo vyao ni vipi ?
  13. B

    Jamani ni dada yupi kati ya hawa wawili ananifaa?

    Mchumba wangu wa kwanza ananpenda sana ila nyumban walimkataa kisa hajasoma..mwingine amesoma ananpenda ila hamzidi wa 1
  14. B

    Bachelor of Science in Clinical Medicine, ufafanuzi

    Jaman hivi kweli vyuo vya tanzania vitakua vinatoa bachelor of science in clinical medicine kwa ajili C.O. mwenye uelewa hili msaada tafadhali anisaidie na itachukua miaka mingapi? Asanteni sana. ================================= =================================
Back
Top Bottom