Habari wana JF
Hivi umewahi kujiuliza swali kwamba kwa nini WAHINDI/WAARABU wanapoanzisha biashara zao hapa nchini zinafanikiwa zaidi yetu sisi watanzania na wakati nchi ni yetu na fursa ni zetu pia?
Kwani we we na muajiri wako mlikubaliana nn wakati unaanza kazi? Na je kuna mabadikiko yeyote yamejitokeza baada yako ww kuanza hiyo kazi? Kwa sababu unaweza ukalalamika kumbe mlikubaliana hivyo. Angalia kama unaona unafursa nyingine achana na hiyo kazi, kama huna namna vumilia hadi kieleweke...
Majibu sahihi sina. Nilichotaka ni kuomba msaada kutoka kwenu wanangu wapambanaji wenzangu. Na ndio maana nimeomba msaada wa mawazo kutoka kwenu. Ningekuwa na majibu nisingewafwata kuomba msaada wenu.
Mh! Kwa vile wewe bado hujaanza kazi na hiyo company yako ya madini nenda kariport kwanza kwenye ualimu. Maana huwezi jua nn kitatokea usije kosa yote kwa kutaka yote.
Br. Mm nimesoma dip ya ualimu was secondary(Math/Geog) Then nikajiendeleza level ya degree ya BBA in Accounting. So nina qualification zote na pande zote niko vzr japo napenda zaidi Accounts than ualimu.
Kaka mm nipo single. Matumizi yangu hata hiyo 500k haiishi, sinywi pombe wala sina madem. Ila nendelea kupata shauri mbalimbali then before 14 days kuisha nitakuwa nimepata jawabu.
Kaka hiyo 1.5 nimeanza nayo tu. Huko mbele mambo mazuri sana. Sio kwamba ni fixed salary. Noo baada ya probation nitapewa contract nyingine na salary nyingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.