Recent content by b2kkalwani

  1. b2kkalwani

    MSAADA WA KUPATA PROGRAM

    Filehorse iko poa sana
  2. b2kkalwani

    Hivi kuna web browser inayoizidi Google chrome

    Yap Ads zinakatwa jukwaju
  3. b2kkalwani

    Hivi kuna web browser inayoizidi Google chrome

    For me kuna browser inaitwa maxthone ni kali balaaa sifa zake 1. Multwindow maanake Unaweza kusign na na mtu ukishamaliza asione ulichokuwa unafanya 2. Kwangu mm sipendi matangazo hapa ndo komesho ya Ads zote hazitaonekana inablock juukwaju 3 iko simple sana sio nzito kwenye streaming life...
  4. b2kkalwani

    Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

    Asante mkuu kwa mada yako swafiii kabisa naomba kufaham mitandao ipi unatumia kupata vitabu maana natafuta vitabu vya mifungo ni adimu sana kupata Asante [emoji120]
  5. b2kkalwani

    Msaada app ya kuwezesha kutumia smartphone kama modem

    Hot spot unasupply internet through Wi-Fi lakin tatizo lake haina spidi ukitumia smartphone kama modem inakuwa na spidi kubwa vile vile unaepuka kuwa na moden za kila mtandao
  6. b2kkalwani

    Msaada app ya kuwezesha kutumia smartphone kama modem

    Pamoja mkuu ubs hotspot ina app yake kwenye android Asante
  7. b2kkalwani

    Msaada app ya kuwezesha kutumia smartphone kama modem

    Habar wana teknohama, naomba mwenye ujuzi au ufahamu kuhusu app ambayo naweza kuinstall kwenye simu nikatumia kama modem kwenye computer ukiachana na mambo ya tethering na hot-spot ya simu, asante.
  8. b2kkalwani

    Commonwealth Shared Scholarships for Master’s Courses in UK, 2017!

    Dr nawezeje kupata scholarship amabayo sio ya kujilipia mimi nimesoma mambo ya mifugo sokoine university
Back
Top Bottom