Recent content by B Son

  1. B Son

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank mtapoteza wateja kwa ubabaishaji

    Mkubwa unahisi matumizi ni sokoni tuu aseee badilika kaka
  2. B Son

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank mtapoteza wateja kwa ubabaishaji

    11000 ina condition sio kila statment inamakato
  3. B Son

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank mtapoteza wateja kwa ubabaishaji

    Sasa ukiweka pesa kwenye godoro na dunia ya sasa ivi tunakwenda kutumia kwa credit card kufanya purchases so utaishije mkubwa?
  4. B Son

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank mtapoteza wateja kwa ubabaishaji

    Tutalifanyia kazi wadau msiwe na wasi wasi heri chizi ulie mzoea kuliko chizi mgeni
  5. B Son

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kuku wa kisasa

    Wadau tz tunahangaika sana ule ya kisasa ule ya kienyeji haidhuru wewe kula pia gonga zoezi sana hamna sumu inayobaki mwilini
  6. B Son

    JamiiForums Tanzania Trafic wakimbia mvua!

    Kweli madereva bongo ni kasheshe kweli ngoja waipate unakuta mtu ana passo anapiga pin semi
  7. B Son

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Wanne watajwa kuwa 'watovu wa nidhamu'

    mwalimu nyerere alisema upinzani ni wa muhimu kwa sababu ndio unaoweza kuonyesha ubora na udhaifu wa chama tawala lakini ccm pamoja na kushika nchi hawana uwezo wa kufanya reference hotuba za mzee ogopa kuwa mtumwa wa maarifa ya kihuni :glasses-nerdy:
  8. B Son

    JamiiForums Tanzania VIDEO-Zitto: Kamati ya Nishati na Madini na POAC zimevunjwa ili kuficha ufisadi wa bomba la gesi

    Hili ni bomu siku likilipuka sipati picha
  9. B Son

    JamiiForums Tanzania Tangazo Muhimu kwa Wote Wenye...

    kweli ntkua na bibi yangu
  10. B Son

    JamiiForums Tanzania Hata Nyie wanaume?

    You now day love loose it`s value therefore for those who wish to entry in love affair your supposed to be care
Back
Top Bottom