CRDB Bank mtapoteza wateja kwa ubabaishaji

vevenononombo

Ongeza hili, bank statement ya page moja ni shilingi elfu kumi na moja. Wizi kabisa. Hivi mimi kutaka kujua ela zangu kama benki wameiba au la mnanikata hizo hela. Ndio maana nilitoa hela zangu zote
 
Last edited by a moderator:
Ongeza hili, bank statement ya page moja ni shilingi elfu kumi na moja. Wizi kabisa. Hivi mimi kutaka kujua ela zangu kama benki wameiba au la mnanikata hizo hela. Ndio maana nilitoa hela zangu zote

Hii huduma ilitakiwa iwe FREE OF CHARGE, kujua mwenendo wa akaunti yako ni HAKI YA MTEJA, sasa hiyo charge unalipia zile karatasi na wino wanaotumia au nini nini....?wizi wizi wizi mtupu na no one to question wanafanya watakavyo!
 
Jiunge na benki tu kama unafanya bishara inayohitaji kupitishia pesa benk au kama unafanya kazi na wanapitishia mshahara benki azawais godoro lako ukiongeza na M PESA Ni mahala pa usalama zaidi. Godoro halina benki charges, halina foleni, halina system down, huwezi kuibiwa kimtandao n.k
Kama humwamini wife hela zako weka mpesa. kama mnaaminiana weka kwa godoro. hakuna atakae kukuvamia nyumbani kama hutatangaza kwamba unahifazi pesa kwenye godoro
Mkuu suala la kuweka ktk godoro zama hizi labda kama nawewe unashiriki ujambazi. Bank kuna account tofaut ambazo hazina charges zaid una earn interest japo kidogo lakini ni salama zaidi.
 
pia ukijaza fomu za kujisajili na sim bank unaambiwa subir masaa 24 hafu baada ya hayo masaa na hata miezi unakuta hujaunganishwa sijui huwa wanachana fomu au la..hii ni lwa tawi la quality centre
 
Hii huduma ilitakiwa iwe FREE OF CHARGE, kujua mwenendo wa akaunti yako ni HAKI YA MTEJA, sasa hiyo charge unalipia zile karatasi na wino wanaotumia au nini nini....?wizi wizi wizi mtupu na no one to question wanafanya watakavyo!
Kiongozi karatasi moja kwa elfu 11. Wamezidi. Wanatukatisha tamaa ili tusipne tellers wanavyoiba hela zetu bukubuku au jero jero
 
Ni kweli hasa tawi la mlimani city wanaboa sana, natafuta bank nzuri nihamie. ATM za crdb cku hizi co reliable tena
Hamia NMB mkuu wako vizuri,hasa sasa baada ya kuingia ktk master card.
 
tena ukienda kulipa ada tawi la quality centre wanakuchji elfu moja mia moja ila matawi mengine hawachaji sasa huu si wizi jamni
 
11000 ina condition sio kila statment inamakato

Acheni usanii crdb mmejaza watu wa eneo moja tanzania tukaona sio ubaya kama wako vizuri lkn kinyume chake huduma hovyo hovyo badilikeni
 
Namba 4 hiyo imenikuta njombe,mji mzima atm ziko 2 zote zinasema kad haitumiki kesho yake najaribu zimekubal hawa jamaa ndoroboooo kabisa
 
Purchases gani wewe kijana ? Mahitaji yangu napata soko la urafiki pale kila kitu ni cash peke yake. Kariakoo maduka ya nguo na bodhaa za viwandani ni cash peke yake. Isitoshe nilikushauri utumie M PESA pia hii itakusaidia kulipia maji na umeme. Banks are becoming obsolete my dear boy. Believe me. Katika kipindi cha miezi hii sita iliyopita benki wamepungukiwa wateja kwa asilimia 30. Soma majarida. Watu wanarudia utamaduni wa kuhifadhi pesa kwenye magodoro na kwenye MPESA

Mkubwa unahisi matumizi ni sokoni tuu aseee badilika kaka
 
Purchases gani wewe kijana ? Mahitaji yangu napata soko la urafiki pale kila kitu ni cash peke yake. Kariakoo maduka ya nguo na bodhaa za viwandani ni cash peke yake. Isitoshe nilikushauri utumie M PESA pia hii itakusaidia kulipia maji na umeme. Banks are becoming obsolete my dear boy. Believe me. Katika kipindi cha miezi hii sita iliyopita benki wamepungukiwa wateja kwa asilimia 30. Soma majarida. Watu wanarudia utamaduni wa kuhifadhi pesa kwenye magodoro na kwenye MPESA

Banks have been there since 14th century and they are going no where.
 
Kiukweli mm pia ni muhanga wa hii bank, nimechoka na sitaki tena, kuendelea kupitishia mshahara wangu Crdb, na nimeishawishi Kampuni yangu na wafanyakazi, tumeamua kwa pamoja kwenda Equity Bank.
 
Aiseee benki za muafrika zote sawa tu. Bora kwa wazungu....
Barclays
 
Banks have been there since 14th century and they are going no where.

Mushaija the post office or postal services have been around since time immemorial. tell me when you received your last letter or card through the post ?
Do you know ni kiasi gani cha pesa ambacho kiko kwenye mzunguko wa M PESA, Tigo pesa na Airtel money ? hii hela miaka mitano iliyopita ilikua kwenye mfumo wa kibenki, na sasa zinaongezeka na za benki zinapungua. Ulisoma extrapolation ?
 
Those services u are mentioning are just for petty cash.serious customers are still trusting and relying on banking sector.If u think all people going to the bank are withdrawing 50000 or depositing 200000 then mobile money will replace banking services and another thing mobile money is for the poor in the third world.
 
Turudi nyuma kidogo. Zamani miaka ya tisini kurudi nyuma tulikua tunatoa rushwa ili kupata mkopo benki, Unaikumbuka THB ambae mkuu wake alikua mhe. Daniel Yona ?. Leo hii wenye benki au benki zinajinadi kwenye ROAD SHOW kuomba watu wakakope, hii ni dalili ya kitu gani ? Banks are nose diving. They may exixt for another ten days but surely they will go.

Mimi pesa yangu Mpesa na nyingine kwenye godoro ili nikikosa usingizi usiku nazihesabu na kuchagua zilizochakaa kwa matumizi ya siku inayofuata.
 
ha ha ha haaa
u made my hour...mkuu sawa.
ila hii crdb bank NIMEICHOKA kwasasa nafanya uchunguzi kati ya equity na nmb.
 
Back
Top Bottom