Sawa kabisa, wanaume tudai haki yetu ya ubabe kwa wanawake tuliyopewa na mungu baba. Hebu niambie, imefika hadi sasa mwanamke kumpa kichapo mwanaume? Mwanamke hata kama wewe ni bonge kiasi gani lazima ukubali kichapo toka kwa mwanaume kwa unyenyekevu. Looh, lazima haki yetu irudi, msifanye masihara.