Recent content by B Prosper

  1. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu hii kazi ya kubet ni kushindana na nguvu za giza, kuna game huko h2h wamekutana mara 8 zote dc ya 12 ziliwin leo nikaweka yeyote ashinde eti wametoka 0:0
  2. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaah man u anachana mkeka mapema mnooo
  3. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kumanyoooko inter turku h2h na mwenzie wamekutana round 20 na zote wametoa over 1.5 leo nawaomba magoli mawili naona nyaunyau, shenziii kabisa mapumbuu hao
  4. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nawashukuru melbet kwa kunipa free bet ya 8800 siku ya jana, imenipa hela weekend hii. Kumbe hawa jamaa ukipewa freebet mkeka ukitiki hawakati ule mtaji naona imekubali kutoa yote
  5. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tuonane saa 7 usiku😏
  6. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Pata gb za Vodacom kwa gharama nafuu zaidi. Huduma ni buree

    Nilifikiri muda wa matumizi ni kuanzia miezi 5 kumbe ni siku 30 tu
  7. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Uume hausimami baada ya kutumia tadalafi mara 40 kwa miaka 3 wakati Tofauti Tofauti

    Pole sana mkuu, lakini hivi ni kweli haya matatizo yapo?
  8. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Samia bado angali hai

    Kwani akifa kuna ajabu? Afe tu kama wengine walivyokufa, yeye ni nani na mimi ni nani hata tusife?
  9. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaah juzi nilikula za uso leo tena upepo siyo kabisa, yaani si kwa wanaume wala wanawake wanachana mikeka vibaya
  10. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Australia siyo mahali pa kuweka hela siku hizi
  11. B Prosper

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

    Hii mbona ni AI kabisa
  12. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Halafu ukute uliweka over 9.5
  13. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huko DFB Pokal takataka tupu, sijui wanataka kunifanya nini hawa jamaa
  14. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaah uzi umepoa balaa
  15. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Samia anatakiwa kupumzika it's over!

    Naona kinyaa kuongozwa na mwanamke
Back
Top Bottom