Recent content by b nyangi

  1. B

    TANZIA Mmiliki wa baa maarufu Magomeni, Hussein Macheni ameaga dunia ghafla nyumbani kwake

    Yeye alifungua bar na pia alimiliki bar na hiyo kiimani ni dhambi. Suala la moyo was mtu halipo hapo
  2. B

    Happy Sabbath to you all from Arusha Tanzania

    Greetings Sons and Daughters of the might God. Happy Sabbath to you all. I will be attending Sabath school at Arusha Central Church. Tell us where you are now Tell us where will you be attending your Sabath school tomorrow God bless you. Don't forget to read chapter 20:8 in the book of Exodus.
  3. B

    Morsi killed by El-Sisi Regime

    Well presented. Lakini hisia zimekuwa nyingi ZAIDI ya facts. Present facts kuthibitisha madai yako.
  4. B

    Mgombea Urais Kenya Anaswa na Bangi

    Marsabit, Kenya. Jeshi la Polisi nchini Kenya linamshikilia aliyekuwa mgombea kiti cha urais mwaka 2017, Jaffer Sora kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi kilo 445. Sora alikamatwa leo June 20, katika mji wa Marsabit akiwa amehiifadhi bangi hiyo kwenye gari yake. Kamanda wa...
  5. B

    Waziri Kigwangalla Atoa Siku Saba Kwa Tanapa na Tawiri

    Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Tanzania, Dk Hamis Kigwangalla ametoa siku saba kwa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (Tawiri) kushauri njia bora kutumika eneo la Kwakatende ambalo ni maarufu mapito ya Nyambu katika hifadhi ya Taifa ya...
  6. B

    Donald Trump Achangiwa Billion 55 Za Kampeni Ndani Ya Masaa 24

    Rais wa Marekani, Donald Trump amefanya mkutano wake wa ufunguzi wa kampeni zake za uraia katika Jimbo la Orlando Jumamne ambapo Kamati Kuu ya Chama cha Republican (RNC) imesema amefanikiwa kukusanya Dola 25 milioni za Marekani (zaidi ya Sh55 bilioni). Mwenyekiti wa kamati ya Republican...
  7. B

    Chuo Kikuu Cha Mount Meru Chazidi Kukumbwa Na Changamoto

    Arusha. Wakati Chuo kikuu cha Mount Meru, kikiwa hatarini kutaifishwa na Benki ya Rasilimali (TIB) kama kikishindwa kulipa deni la Sh3 bilioni ilizokopa miaka mitatu iliyopita, umeibuka mgogoro wa umiliki wa chuo hicho. Chuo hicho ambacho Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) imesitisha kudahili wanafunzi...
  8. B

    Dogo wa kiduku ana miaka 33, alizaliwa 1984: Lakini kishindo chake usipime.

    Kim is being mislead by his most trusted generals. He is being set up ,they want to remove his family from ruling DPRK. It's only a matter of time before things starts happening! Even the mighty Saddam Hussein was deceived by his closest friends that his army was so powerfully and therefore...
  9. B

    Kauli hii ya Makamu Rais wa Kenya Rutto huenda ikasababisha machafuko muda wowote huko Kenya

    There is no war in Kenya, but another election next month which ofcourse will see rao out of politics for good.
  10. B

    Kumekucha Kenya Raila na Kalonzo Marufuku Kusafiri Kwenda

    Kindly unveils the source of information please,from there we can put forward our comments!
  11. B

    Mbowe: Jumla ya sh 204M za matibabu ya Lissu zimechangwa, aomba michango zaidi, aishutumu Serikali kuhusika na shambulio

    Wadau nafahamu kuwa watu wanaendekea kujitokeza kwa mapenzi makubwa kuchangia matibabu ya T.L. Binafsi nafarijika kuona mshikamano na huruma kubwa kutoka kwa wadau mbalimbali walioguswa na hali ya T.L Aidha najua cdm wametoa account namba maalumu kwa ajili ya kupokea michango hiyo. Najiuliza...
Back
Top Bottom