Recent content by AZUSA STREET

  1. A

    True story: Ushuhuda wa ndoa yangu

    binafsi huwa siendi kanisa lolote linalohubiri tu miujiza. ila utakatifu, kujwazwa Roho na kunena kwa lugha, kuishi kwa utakatifu etc. hata Yesu alisema miujiza ni chakula cha watoto ambao hawajamjua yeye. lakini haimaaishi kwamba miujiza haipo, Mungu wetu anafanya miujiza hata leo hii. kuna...
  2. A

    Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    wayahudi wa kweli ndio wale waliopo pale, unataka wayahudi wa kweli washuke toka mbinguni?ndio hao hao, dunia nzima ukienda (ukiondoa africa) kuna masinagogi yao wanajuana hadi leo na ndio hao wanarudi kwao
  3. A

    Muungano ukivunjika

    point yangu ni kwamba, tukitengana mtakuwa tayari kurudi kwenu mtuachie ardhi yetu ya Tanganyia, jinsi mlivyojazana kigamboni, dsm na mikoa yote ya tz. muwe tiari kuhama pia, sio mnalianzisha halafu mnashindwa baadaye.
  4. A

    Muungano ukivunjika

    Umesahau kitu kimoja kikubwa sana, "wapemba watapungua kigamboni na dsm, na mikoani, watakuwa either wahamiaji haramu wanaotakiwa kufurushwa au watapata shida sana ya uraia kwasababu zenji wataipenda na bara wataipenda kutokana na kwamba wamewekeza, wamenunua ardhi etc. Jambo hili...
  5. A

    Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    haki ya nani kati ya myahudi na mpalestina, myahudi anataka haki ya ardhi yake aliyopewa na Mungu, na ninyi mnaitaka haki ya ardhi mliyoiokota bila kujua kuwa ni ya mwenye nayo....hahaha
  6. A

    Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    kama kiwanja ni cha kwake yeye alikuwa amesafiri mbali alipoenda wewe ndo ukahamia, akija mwenye mali itabidi uondoke. maeneo yale tangu enzi ni ya wayahudi, walipochukuliwa utumwani ndio waarabu wakakalia, wamerudi tuchukue ardhi yetu mnalalamika. historical site zote ni za kiyahudi, hakuna ata...
  7. A

    Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    mahali alipozaliwa Bwana Yesu Kristo ni eneo la kiyahudi lililokaliwa na waarabu wa kipalestina. Yesu hakuwa mwarabu/mpalestina, alikuwa myahudi. nafikiri mfano wako umeprove zaidi kuwa maeneo yale ni ya waisrael/wayahudi na sio waarabu/wapalestina. cha muhimu wote waishi kwa amani tu kwa...
  8. A

    Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    sio watz wote hawasapoti, sisi wengine tunasapoti israel kuwepo pale, na sisi ni watz, usijifikirie wewe peke yako fikiria hata wale wenye mawazo tofauti na yao wenye haki sawa na zako. unatuweka upande gani?
  9. A

    Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    wale hawakuwa wameenda kuhiji, ni wasudan na waelitrea walikuwa wanafuata maisha mazuri, na ilikuwa haki ya waisrael kuwafurusha kama ninyi mlivyowafurusha wanyarwanda kwenye operation kimbunga.
  10. A

    Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    ninajua sana mkuu, vipi, unafikiri kuna kitu gani sikijui?
  11. A

    Mzee wa Upako anasema kuwa Masikini ni Ufala!

    kuna vitu vingine ni aibu kwenye ukristo. watu wengine aisee wanahitaji kuombewa.
  12. A

    Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    Nyerere alishakufa, aliyokuwa anayafanya sio msaafu kwamba uyafuate kama yalivyo, alikuwa mwanadamu, alifanya makosa mengi tu mojawapo likiwa ni hili kuvunja uhusiano na Israel. Israel wame suffer nini toka kwetu tangu sisi tuvunje uhusiano nao? kati ya sisi na Israel nani anamuhitaji mwenzake...
  13. A

    Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    fikiria kabla ya kupost. unaweza kuwa na tatizo kwenye ubongo nahisi.
  14. A

    Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    waafrica wanauzwa kama watumwa, wanauawa jangwani hajaona, ameona tu suala la ubalozi wa Israel.
  15. A

    Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    Israel sio taifa la Kikristo, ni taifa la Kiyahudi, isipokuwa kwa wakristo ni kitu sensitive kupita unavyoelewa hivyo hata kulikabili unatakiwa kulikabili kwa uangalifu kwasababu linakwaza ukilihendo bila kuangalia hisia za wengine. Hata kama Israel sio wakristo, ujue wayahudi wanatumia Tora...
Back
Top Bottom